Mwanamke anaweza kufika kileleni mara tatu mfululizo!!

MKUU, g sport ya mwanamke ndio ipi ? Na ipo sehemu gani kwa mwanamke ? MKUU ENDELEA KUTUPA TUITION MAANA NIMEIPENDA. NA JE, HIVI KUMPA ORGASM MWANAMKE HAKUNA UHUSIANO PIA NA SIZE YA DUSHE ? MAANA KUNA WENGINE NI VIBAMIA.
Mkuu kuna msemo mmoja unasema kua "its not the size of the boat that matters, but the movement(motion) of the ocean". Afterall wataalamu wanasema 3/4 (robo tatu) ya urefu wa uke kutokea nje ndio sensitive zaidi kuliko ile robo ya ndani kabisa ya uke.

Hivyo mkuu wala usiwe na hofu kuhusu maumbile yako madogo kama ulivyosema, shughulikia sana na motion ya dushe lako ndani ya papuchi, ukihakikisha unagusa panapotakiwa katika hiyo robo tatu ya uke ambayo naamini unaweza kuifikia.

Nakushauri utumie kwa uhakika foreplay, hakikisha pia unampa orgasm mpenzi wako katika zile njia nyingine za awali kabla ya kuingiza dushe. Kama mtakua comfortable na mpenzi wako unaweza pia kumwambia asugue kisimi chake wakati unamgegeda, au kama style inaruhusu unaweza sugua mwenyewe huku unagegeda (hakikisha tu vidole vyako sio vikavu) Hiyo humpa orgasm kwa urahisi zaidi
 
Umenena vyema mkuu Elungata
 
Reactions: SDG
Mwenye elimu ya G-Spot atujuze jamani,maana hii forum ni zaidi ya Chuo kikuu
 
Reactions: SDG
Lol! Very creative🙂🙂

Inaandikwa g spot, kipindi cha vita ya pili ya dunia (siko sure hapa) Daktari wa wanawake anaitwa Grafenberg alisema amegundua kitu kwenye qumer ambacho alikua akikishika kinampatia mwanamke raha. Akakipa jina G spot, yaani Grafenberg spot.
 
Somo zuti ila Vp kuhusu wale wanawake ambao wamekeketwa kwa maana ya kwamba visimi vimetolewa hao huwa unawezaje kuwafikisha kilelen
 
Reactions: SDG
MKUU, g sport ya mwanamke ndio ipi ? Na ipo sehemu gani kwa mwanamke ? MKUU ENDELEA KUTUPA TUITION MAANA NIMEIPENDA. NA JE, HIVI KUMPA ORGASM MWANAMKE HAKUNA UHUSIANO PIA NA SIZE YA DUSHE ? MAANA KUNA WENGINE NI VIBAMIA.
Kidole kinatosha kumpa orgasm mwanamke. Kama una kibamia ambacho hakifiki size ya kidole ni maajabu.
 
Hii kitu Mkuu inaweza kutokea kwa mpigo moja inaanza inaisha nyingine inakamata inapoishia nyingine inakamata. Mwanamke orgasm yake inasemekana inaweza kuchukua hata dakika mbili.

 
Multiple inapatikana kwa stamina tu yaan aki cum ukaendelea bila ku stop ata cum tena ma ukifanikiwa kuendelea tena ana cum vilevile
Kutokana na maelezo nimepata vitu hivi,

1./awe naimani yeye mwenyewe kwamba Anaweza kucum more than Once,

2./yeye Mwenyewe pia ajitengenezee mazingira yamwili wake, (ajipose) katika hali yakutaka kucum again, Asimalize then akastop acts/emotions

3./Ampe mume Hali ya kumfanya alewe kuwa Amecum tayari lakin anataka Tena na Tena

4./Mume awe na Stamina&Ujuzi wakutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…