mkuu kwani orgasms maana yake ni nini?
Mkuu kwa lugha rahisi kabisa orgasm ni ile hali ya mwanaume au mwanamke kufika "kileleni" wakati wa sexual activity.
Baada ya mtu kufika orgasm ndo unafuata ule mda unaoitwa "refractory period", ambapo kwa wanaume ni ule mda baada ya kukojoa ambapo dushe linalala na hisia kushuka kwa mda flani kabla ya kuingia round nyingine au kabla ya kuanza kutafuta bao la pili n.k.
Huu mda, yaani refractory period, unatofautiana baina ya wanaume na wanaume. Wanaume wenye refractory period kubwa ni wale ambao baada ya kukojoa huchukua mda mrefu sana kupata hisia nyingine na kusimamisha dushe tayari kwa round nyingine, wakati wengine huchkua mda mfupi tu. Utofauti huu hasahasa unasababishwa na hormone inayoitwa oxytocin, lakini pia prolactin hormone inahusika pia.
Kwa wanawake ipo complicated kidogo. Nasema ipo complicated kwa sababu wanawake wana uwezo wa kutopitia hii refractory period, na ndio maana wana uwezo wa kuexperience "multiple orgasms", yaani orgasm baada ya orgasm bila kupitia ule mda wa hisia kukata kama wanaume.
Ila wapo pia wanawake ambao baada ya kupata orgasm au kufika kileleni au kukojoa kama watanzania tunavyopenda kusema, huweza kupitia hii refractory period. Hii ni pale ambapo mwanamke anakua ameshuka toka kileleni na hisia kushuka, ambapo hata akiwa stimulated anaeza asiwe excited au asisikie raha, mpaka baada ya dakika kadhaa. Bila shaka unaweza kua umekutana na mwanamke ambae akishafika kileleni au "kukojoa" hisia hushuka na anabaki kukusindikiza tu mwanaume na wewe ukojoe kisha mpumzike kidogo kabla ya kuanza tena. Hapo ndo unaweza kukutana na maneno kama "baby mi nshakojoa na wewe kojoa", ndo maana nkatangulia kusema kwa wenzetu wanawake ipo complicated kidogo.
Ila nijuavyo wanawake walio wengi wana uwezo wa kuexperience "multiple orgasm" bila kupitia hiyo refractory period.
Mkuu bila shaka utakua umepata picha kidogo kuhusu maana ya "orgasm".