Kwa uelewa wangu ni kuwa anaweza kuhisi/ dhani hivyo iwapo wakati mnakutana anakuwa yuko kwenye heat period. Ila kujua kwa hakika kuwa mimba imeshatungwa sidhani kama inawezekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.