M Mrope Sir Member Joined Oct 4, 2014 Posts 41 Reaction score 0 Aug 13, 2015 #1 Hivi mwanamke anaweza kujua kama ana mimba ndani ya saa 24 tangu alipofanya mapenzi? Naomba majibu ya swali hilo.
Hivi mwanamke anaweza kujua kama ana mimba ndani ya saa 24 tangu alipofanya mapenzi? Naomba majibu ya swali hilo.
Barraza JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 481 Reaction score 270 Aug 13, 2015 #2 Kwa uelewa wangu ni kuwa anaweza kuhisi/ dhani hivyo iwapo wakati mnakutana anakuwa yuko kwenye heat period. Ila kujua kwa hakika kuwa mimba imeshatungwa sidhani kama inawezekana. Ngoja tuwasikie na wataalamu wengine.
Kwa uelewa wangu ni kuwa anaweza kuhisi/ dhani hivyo iwapo wakati mnakutana anakuwa yuko kwenye heat period. Ila kujua kwa hakika kuwa mimba imeshatungwa sidhani kama inawezekana. Ngoja tuwasikie na wataalamu wengine.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Aug 13, 2015 #3 Hapana ...sio kweli... mimba kutunga inaweza chukua hata masaa 72