Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Tokea enzi na enzi mwanamke amebanwa sana na mfumo dume kiasi cha kwamba ni kifaa cha mwanaume kwa matumizi yake binafsi.

Mwanadamu ana ukimwi sana na hapendi kushare kile anachokitumia na mwenzake ndipo ilipozaliwa wivu na mada kama hizi.

Any way mimi najiombea nisije kulala na mke wa mtu hali nafahamu huyu ni mke wa mtu. Yaani naomba mno.
 
Maake hapo kwanza ncheke..... yawezekana me bado mdogo lakini hiu msitari "wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa". Nimeuelewa vizuri
 
Ndio maana chizi mwanamke anaweza kuwa na watoto hata sita, ila chizi mwanaume hana mtoto hata mmoja..

Wanawake ni wa hisia, ndo maana misibani wanaongoza kulia. Na wanaume ni logic ndo maana wamejaa jeshini na mahakamani

Inshort wanawake wangekuwa kama wanaume, wanaume wengi wangebaki single[emoji23], maana imagine mwanamke anampendea mtu kunukia tu[emoji23][emoji23][emoji23] huezi kusikia mwamba kampenda demu kisa ananukia vzr , au kampenda mwanamke kisa anafaulu vzr darasani[emoji16]
 
Hakika umenena vyema, na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mtoa mada inaonekana huna uzoefu sana na wanawake, mwanamke akikupa papuchi ya bure, haimaanishi Kuwa anakupenda mkuu, mtoa mada hujawahi pewa kirahisi papuchi ya bure na mdada halafu kesho yake ukakimbiwa..
 
Mkuu kwa nn hutak kutembea na mke wa mtu
Naomba ufafanuz plz
 
Wewe ni Me au Ke??,Hebu Tuanzie hapo kwanza.
 
Nimeelewa na naendelea kujifunza kitu. Kuna vitu tunapuuzia lkn ndiyo vinavyoendelea katika jamii yetu.
 
Hii ndio point kuu. Wananwake wanatamani sana kubadili mbooo....na wanapenda kushare vizuri tuu. Sema ujinga wetu wanaume mambo ya kudhani kuwa wanawake hawana matamanio ya ngono kama sie wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…