Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati"

mwisho wa kunukuu
Naam,huo Ndio ukweli wenyewe.
 
Hii kitu ni very complicated....
mwanaume anachepuka na mwanamke, ila mwanamke kuchepuka ni hatari [emoji849]

Anewei siwezi kuongea chochote bila mwanasheria wangu BADILI TABIA
Mwanamume anachepuka kwa kutamani na wala sio kwa sababu ya kupenda ila Wanawake huchepuka kwa sababu wamependa kwa dhati toka moyoni.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume asili yetu kutamani kwanza na mapenzi huja baadae baada ya ya kupima na kuridhika na huduma iliyotolewa.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Maandiko matakatifu yanasema ukitenda hiyana utatendwa hiyana.Anayechepuka naye anachepukiwa.

Wanaume uwezo wa tendo na upendo tuoneshe nyumbani,ukizembea unataka ukaoneshe nje manake unataka home wakuoneshe wenzako?
 
Mwanamume anachepuka kwa kutamani na wala sio kwa sababu ya kupenda ila Wanawake huchepuka kwa sababu wamependa kwa dhati toka moyoni.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
una uhakika??? anachepuka kwa kutaka chapaa nae kapenda kwa dhati???

Haya mambo mnaexaggrate mno jamani
 
Maandiko matakatifu yanasema ukitenda hiyana utatendwa hiyana.Anayechepuka naye anachepukiwa.Wanaume uwezo wa tendo na upendo tuoneshe nyumbani,ukizembea unataka ukaoneshe nje manake unataka home wakuoneshe wenzako?
Leta kifungu hicho mkuu.
 
Ukijua mkeo anachepuka muache mara moja, huo ni mlango wa kifo.

Na ni kweli kabisa kua wanaume hulinda wake zao dhidi ya michepukoa lakini wanawake hulinda michepuko dhidi ya waume zao, japo sio wote coz kuna wanaume wapumbavu ambao hupumbazwa na huba la michepuko pia hadi kusahau familia.
 
Mkuu siku hz wanawake wamekua mabingwa wa kuchepuka , yan wao kila request mpya wanaipokea ...ukiwa na vijihela kidogo utawala mpaka bhac
 
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati"

mwisho wa kunukuu
Huku nikujidanganya tuu
 
Mkuu siku hz wanawake wamekua mabingwa wa kuchepuka , yan wao kila request mpya wanaipokea ...ukiwa na vijihela kidogo utawala mpaka bhac
Every pusssy on this planet has a price...wee unachotakiwa kufanya ni kuwa na hela basi
 
Ni kweli kabisa kwani wanawake huongozwa na hisia na mara nyingi mwanamke anachepuka na mtu anayempenda lakini wanaume wanaongozwa na tamaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…