Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Mwanamme ukimfanyia kila kitu atahisi tu wewe ndo muongoza familia na inawezekana ikawa sababu ya kwenda nje kutafuta wa 'kumuongoza' ili ajiridhishe na uanaume wake

sijui lkn yaweza kuwa bora kuishi kwa standards za mume Kama yeye anakipata cha chini kuliko mwanamke
 

dah,,,kitufe cha senks huwezi kubofya mara mbili so take this :A S-rose::love:

The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 

Hapo kwenye nyekundu Dada nyamayao napata mashaka kidogo kama una shauri au unapotosha? mimi nadhani ukweli upo palepale na wewe unaujua ila bac tu, anyway dada Nyamayao mpe hi SHEMEJI
 

ndio hapo inapoingilia swala la kuchunana...yeye alijiona afiti na mie kwanini alikubaliana na mie....hapa ndio ninazungumzia kuwa JS awe na mtu wa level yake akiwa na tofauti ni headache tu hata kama una mapenzi nae ya kweli vijimmbo vitakuwa havikosekani.
 
Pesa???Habari yake tata mimi naweza nikakutajia hata kwajina flani!!unambiwa unateseka kisa mkwanja utu wangu unakuwa underpant!!

NZILA NSHARILA Kwa wae weledi wa lugha hiyo!!!:A S 27:
 
don fall in love with a dreamer....
 


hapo akitaka kufanyiwa hivyo atakuwa amejitakia, lakini wanaojua kusaka faranga kama yeye yapo na tuseme wanatafutana lakini ni kwamba hawajapatana tu sio kusema itakuwa ngumu kwake kupata au vipi kupata atapata tu....
 

Ndipo nnapozungumzia Mimi hapo..... Kwa usalama wake mwanamke basi ni bora atafute mume ambae Hakuna gap kubwa sana baina Yao.

Gap ndogo Kama wewe unapata milioni mbili na mume anapata moja na nusu basi nafikiri mwaweza lingana.

Hata Kama mwanamme awali alifikiri hiyo gap sio ishu, namna alivyo umbwa kama mwanamme itakuwa issue tu mbele ya safari
 
Hapo kwenye nyekundu Dada nyamayao napata mashaka kidogo kama una shauri au unapotosha? mimi nadhani ukweli upo palepale na wewe unaujua ila bac tu, anyway dada Nyamayao mpe hi SHEMEJI

sasa kituko unataka JS akose ucngizi kisa kufikiria atapataje mume?...ninavyosema ale bata ndio namaanisha huko huko kwenye mitoko yake atapata wa kwake, kwenye kujichanganya ndio palipo na mema, hata kama umri unaenda kama hajapata sasa afanyaje, ndio matokeo yake atajichomeka tu mahali ndio wanaishia kulia shida/manyanyaso ya ndoa ikipita mwezi tu.
 

hili lyfe halieleweki kabisa...mwanamke ukiwa huna utaambiwa msumbufu/una omba sana, ukijua kuzisaka napo shida, najua kama JS angekuwa yupo ndani tayari ndio akapata kazi ya maana kuliko mume watu wangesema mengine lakini kwasasa wanasema tofauti...bwana weee JS jiwekeze, jenga nyumba hata 50 kama uwezo unao, fanya yote yawezekanayo utapata tu wa level yako...
 

haha Nyamayo, unadhani hilo dogo? Hapo tayari anakosa sehemu ya usingizi tayari.....
 

Mapenzi ya kweli kati ya mtoto wa mjakazi na princess huwa yananiacha na kizunguzungu. Na ndio maana tunasema ndoa ya watu wa levels tofauti probability kubwa sana (>80%) ya kuwa ndoa ya kusadikika. Nadhani sinema nyingi zimejaribu kuonesha vizuri tu hii dhana. Na watu wanaotala mabadiliko (kimtazamo) wajue kuwa hawezi kuja ndani ya usiku mmoja. Pia wataoyaleta ni wahusika. Currently, wanawake wanye kipata kikubwa wakiwa na wanume wa KSS hawaoneshi trend ya kuelekea huko.

Ndiyo ushauri wetu kwa JS na wangine. Kwa afya yake na huyo mdau anayetafuta kuwekeza kwake!

.

Nadhani tunachosema (Asprin kaeleza vizuri) ni kuweka rekodi sawa. Kwamba ukiona mambo yako ni mazuri basi hakikisha huendi shopping kwenye masoko ya uswahilini. Watakumwagia tope kwani wao kuwa na tope miguuni si tatizo.
 
haha Nyamayo, unadhani hilo dogo? Hapo tayari anakosa sehemu ya usingizi tayari.....

haaa mie ckujua hilo, mie nilijua mtu unatakiwa uclipe nafac ya kufikirika kwa sana zaidi ya kumwomba mungu wako akupe kile alichokuandalia, sasa hapo kukosa ucngizi na hujui atakupa lini napo tena kuna kazi ya ziada.
 
kaizer & the co ltd.....
naomba scientific derivation ya ''uwepo wa madhara kwenye mahusiano/ndoa wakati wahusika/wanandoa wanapozidiana kipato...''.you clarify it in total!PLEASE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…