Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Ukitaka kuoa inabidi mwanamke huyo asiwe mzuri kwa kila mtu maana hapa ndio presha inapoanzia,chukua wale mademu like Ebitoke utaishi bila presha[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani umemaliza madamHicho unachompendea ndiyo wenzako watampendea hicho hicho, hakuna ujanja ni kuoa mwanamke anae jielewa na ambae amekubali hali yako.
unaakili sana wewe mwanamke sijui nikupate wapi nikununulie soda tu Sky Eclat 🙂🙂Hicho unachompendea ndiyo wenzako watampendea hicho hicho, hakuna ujanja ni kuoa mwanamke anae jielewa na ambae amekubali hali yako.
Hicho unachompendea ndiyo wenzako watampendea hicho hicho, hakuna ujanja ni kuoa mwanamke anae jielewa na ambae amekubali hali yako.
Asante mkuu.
Mmhhhhhh acha kujisumbua .Ukitaka kuoa inabidi mwanamke huyo asiwe mzuri kwa kila mtu maana hapa ndio presha inapoanzia,chukua wale mademu like Ebitoke utaishi bila presha[emoji23]
Asante mkuu.