Mwanamke anayenyonyesha anaweza kutumia dawa hii?

Mwanamke anayenyonyesha anaweza kutumia dawa hii?

Dandora

Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
48
Reaction score
51
Emerginor
Levonorgestrel
1131184

Hii dawa kwa ajili ya kuzuia mimba kwakuwa mtoto bado ananyonya na ana miezi 4 sasa ili kuepuka mimba maana mke wangu hapendi matumizi ya kondomu hasa siku za hatari
 
Maelezo nimesoma yanasema kama mwanamke ananyonyesha apate ushauri wa daftari...najua humu kuna madaktari hivyo ndo nasubiri ushauri hapa.
 
Maelezo nimesoma yanasema kama mwanamke ananyonyesha apate ushauri wa daftari...najua humu kuna madaktari hivyo ndo nasubiri ushauri hapa.
Ngaja tuwasikilize madaktari hapa
 
Issue serious ya kiafya unakuja kuuliza humu kweli mkuu?
Nakushauri nenda hospital au kituo cha afya uwaone wataalamu watakupa majibu sahihi yasiyopishana pishana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haina effect kwa maziwa wala mtoto so aweza kutumia!
 
Emerginor
LevonorgestrelView attachment 1131184
Hii dawa kwa ajili ya kuzuia mimba kwakuwa mtoto bado ananyonya na ana miezi 4 sasa ili kuepuka mimba maana mke wangu hapendi matumizi ya kondomu hasa siku za hatari
Kwa hiyo anatumia hivyo vidonge kila siku kama njia ya uzazi wa mpango au anameza just for emergency ?
 
Kuna pill nyingine inaitwa morning after pill. Hii ukila mzigo usiku asubuhi anabugia ila sijui athari yake kwa maziwa ya mama anayenyonyesha.

Just for emergency
 
Kuna pill nyingine inaitwa morning after pill. Hii ukila mzigo usiku asubuhi anabugia ila sijui athari yake kwa maziwa ya mama anayenyonyesha.
Nashukuru mkuu,na mimi naogopa kutetelesha afya ya mtoto.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom