TheHustler
New Member
- Oct 17, 2024
- 3
- 3
Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana!
Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna wengine ni makatili sana.
Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna wengine ni makatili sana.