TheHustler
New Member
- Oct 17, 2024
- 3
- 3
Sasa mkuu mbona unakatisha stori njiani.Mimi namfahamu mdada mmoja alimwachia mwanamme mapacha watatu na sasa hivi ni wakubwa kabisa wapo secondary nafikiri.
Kuna siku nikaja kukutana na mdada kiwanja akila good time tena mmoja aliyekuwepo ktk hiyo meza ni rafiki yangu ila hakujua kama mimi namfahamu huyo dada.
Dada aliona jamaa amepigika kimaisha ghafla akala kona tena kabla ya hao mapacha watatu tayari alikuwa na mtoto mmoja mkubwa.
Na hao watoto nao hawajawah kuuliza kuhusu mama yao??Nilitelekezewa mapacha wa kike wana 2yrs nikafuta ile mbuzi kwnye maisha yangu kabisa! Leo hii wapo chuo kikuu Marekani na mama yao hajawaona kwa miaka 21 analvuna korosho huko kusini na maisha yashampiga sawasawa! Kuna kipindi unatakiwa kuwa mwanaume na kupractice uanaume sio kuvaa suruali tu
Na hao watoto nao hawajawah kuuliza kuhusu mama yao??
Umejuaje kama yuko anavuna korosho na kapigika? Bado unampenda au?
Ni sawa, hajawatupa wala kuwanyonga si wapo na baba yao? Mungu atamsaidiaDah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana!
Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna wengine ni makatili sana.