mwanamke anyofolewa nyeti zake bila kujua.

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi. Mpaka sasa mwanamke huyo nyeti zake hazipo. Sijui ni mambo ya kishirikina?Source: wapo radio fm
 
Mmh! watu wa Mbeya ıtabıdı watueleze nı kıtu ganı hıko.
 
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi. Mpaka sasa mwanamke huyo nyeti zake hazipo. Sijui ni mambo ya kishirikina?Source: wapo radio fm

Mbeya sı yamejaa makanısa ya kıpentekoste? Aende kanısanı kuombewa ılı arudı kwenye halı yake ya kawaıda.
 
Mmh mbna cjainyaka hii mkuu na mie nipo mbeya? Au mbeya maeneo gani u2ambie.
 
hahaha unafanya mchezo na mbeya. Asishangae akiamka kesho akajikuta hana pua!
 
Aisee!.hebu jaribu kutuwekea na picha za tukio. Kama nyeti zimenyofolewa,sasa alibakiwa na nini?
 
Du watu wagundua njia mpya ya kubaka hee!!!!!!!!!! wanaenda kutumiaaaaaaaaaaaaa afu ndo wajekurudisha
 
Kwa hiyo gemu ndio hapigi tena?!! Au ndio ataanza ku2mia ndogo.
 
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi. Mpaka sasa mwanamke huyo nyeti zake hazipo. Sijui ni mambo ya kishirikina?Source: wapo radio fm

Hivi ni kweli.......?
 
Back
Top Bottom