Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja mkoani Mbeya amejikuta anaamka asubuhi huku nyeti zake zikiwa hazipo na kumfanya achanganyikiwe na kuhaha huku na huku mahospitalini bila kupata ufumbuzi. Mpaka sasa mwanamke huyo nyeti zake hazipo. Sijui ni mambo ya kishirikina?Source: wapo radio fm
hahaha unafanya mchezo na mbeya. Asishangae akiamka kesho akajikuta hana pua!