Mwanamke aolewa na wanaume wawili

Qn: a man with more than one wives is known as POLYGAMIST, Now, how can we call Veronica?
 
Mi hata uniroge sikubali kuwa mume mwenza!
 
Mi nafikiri huyu mwanamke wa kwanza duniani kuishi na wanaume wawili openly na kwa amani na upendo. Hivyo aingizwe kwenye GUINESS BΓ–OK otherwise ntasema wazungu wanapendelea vyao tu. Huyu kaonyesha kuwa mwanamke akiwezeshwa anaweza. Nawakilisha.
 
Heh! Kumbe ndio standard hiyo!
 
Hiyo ndo haki sawa kwa wote jamani, tusishangae sana!!
 
rukwa mmezidi, Juzi vikongwe vilifunga ndoa, leo mke anaolewa na wanaume wawili Ebu
 
Huyu amevunja record ya dunia anaweza akawa tajiri huyu mama. Wanaume wengi kwa mke mmoja wanaweza kuchukua jina lake kama champion; veronicaism.

Qn: a man with more than one wives is known as POLYGAMIST, Now, how can we call Veronica?
 
Wewe umeshachukua picha ya anti-islamist na kufanya avator. Sikuwezi. Angalia usije kuwa kwenye wanted list ya CIA, maana hii mitandao ya jamii ndipo wanapoanzia upelelezi wao siku hizi. Afu jamaa good looking kweli na amekaa ki gentleman. Kweli huwezi judge a book by its cover!

Hiyo ndo haki sawa kwa wote jamani, tusishangae sana!!
 

hahahahaha.....ndo hivyo BAK, usawa kila eneo...LOL..πŸ™‚. Halfu umeona ee...mama ndo kaoa...sio kaolewa....ndo bosi mwenyewe..πŸ™‚ πŸ™‚...mhhh!!!!
 
Reactions: BAK
Hili sasa ni balaa. I can say that here, there are two tings involved. It's either these men have been bewitched by the mama or the mama is more qualified in satisfying the two men on the 'mat'. If the two men are bewitched it's okay but if the woman is more qualified in certain games on the mat, there are two tings involved again. Either she can satisfy another duplicate of men and triplicate and quadraplicate and so on or she can be overworking the first pair. If the first pair is overworked on the 'mat' it's okay but if she uses her expartism in 'confusing' a series of other men on the mat, there is only one ting waiting for her. DEATH AT 2KG LIVE WEIGHT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…