Mwanamke asiye jirekebisha utaishi naye vipi?

Mwanamke asiye jirekebisha utaishi naye vipi?

Izrael k Adam

Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
6
Reaction score
5
Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll.

Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni ushauri JF

1642576105776.png
 
Kashakuroga huyo so anaamini huna ujanja wa kuchomoka...wanawake wanaoroga huwa wanajiamini sana...dawa ni kujikaza, mkazie muonyeshe hutaki ujinga Hadi ajue hakuna uchawi kwenye mapenzi, hivyo unavyovumilia anajua dawa zimefanya Kazi...usishangae akamtunuku mbususu mganga wake.

Hatuvumilii tabia mbovu...tunavumilia kasoro ambazo hazirekebishiki Kama maradhi, ulemavu, ufupi, kibamia, kukosa pesa....
 
Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lkn akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni ushauri JF
Jikatae mkuu, unamvumiliaje mwanamke mpumbavu.

Huyo kashaujua udhaifu wako, atakusumbua sana. Jifunze kujua muda wa kumuacha mtu, na usipende kuwa king'ang'anizi kwa wanawake watakuumiza mind yako sana. Jifunze kuwa na roho ngumu mkuu. Hata kama unampenda, she don't feel the same, move on.
 
Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni ushauri JF''

Na hii ndiyo silaha anayoitumia
 
Kashakuroga huyo so anaamini huna ujanja wa kuchomoka...wanawake wanaoroga huwa wanajiamini sana...dawa ni kujikaza, mkazie muonyeshe hutaki ujinga Hadi ajue hakuna uchawi kwenye mapenzi, hivyo unavyovumilia anajua dawa zimefanya Kazi...usishangae akamtunuku mbususu mganga wake.

Hatuvumilii tabia mbovu...tunavumilia kasoro ambazo hazirekebishiki Kama maradhi, ulemavu, ufupi, kibamia, kukosa pesa....
Dah!! Sister nimekuelewa haswa kwenye swala la kujiamini yaani unakuta akianza kukuropokea haogopi lolote kwani anajua kabisa anakutia hasira lakini anafanya tu na mm so boya huwa namkaza makofi nikichukia sasa akishajua amepigika ataria kwa kiburi atashusha pumzi hovyo kama mwenye presha adi unamhurumia dah!! Ya duniani hatari!!! Ioooh ni !!tabu tupu
 
Back
Top Bottom