Izrael k Adam
Member
- Jan 18, 2022
- 6
- 5
Jikatae mkuu, unamvumiliaje mwanamke mpumbavu.Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lkn akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni ushauri JF
Dah!! Sister nimekuelewa haswa kwenye swala la kujiamini yaani unakuta akianza kukuropokea haogopi lolote kwani anajua kabisa anakutia hasira lakini anafanya tu na mm so boya huwa namkaza makofi nikichukia sasa akishajua amepigika ataria kwa kiburi atashusha pumzi hovyo kama mwenye presha adi unamhurumia dah!! Ya duniani hatari!!! Ioooh ni !!tabu tupuKashakuroga huyo so anaamini huna ujanja wa kuchomoka...wanawake wanaoroga huwa wanajiamini sana...dawa ni kujikaza, mkazie muonyeshe hutaki ujinga Hadi ajue hakuna uchawi kwenye mapenzi, hivyo unavyovumilia anajua dawa zimefanya Kazi...usishangae akamtunuku mbususu mganga wake.
Hatuvumilii tabia mbovu...tunavumilia kasoro ambazo hazirekebishiki Kama maradhi, ulemavu, ufupi, kibamia, kukosa pesa....