Mwanamke asiye na heshima

Mwanamke asiye na heshima

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
MWANAMKE ASIYE NA HESHIMA

: Mwanamke Yeyote Ambaye,amechagua kutokukusikiliza wewe,
Kama mumewe,huyo hafai kwenye maisha yako..KWANINI?

>>Kwanza anaamini yeye ni bora kuliko wewe.

>>Anaamini kua katika mahusiano na wewe ni Kama vile amekufanyia upendeleo tu..😎😎😎

>> Anaamini kuna mtu mwingine bora zaidi yako...japo hamjui ni nani,hivyo ataendelea kuishi nawewe lakini mindset yake iko sokoni😂😂😂🤣😎😎
Usinichukie ni maneno nasema.

>> Anaamini anapaswa kua na mwanaume Tajiri na mwenye hadhi kuliko wewe..🤣🤣🤣😎😎

>> Akiwa na marafiki zake,maneno na jumbe zake ni kwamba kwako ameshikiza..😂😂😎

>>Huyu ni mwanamke ambaye kisasi chake kikubwa,pale mnapogombana ni kuongeza mwanaume mwingine akifikri anakukomoa...🤣😎

>>Huyu ukigandamana naye kwa nguvu zake na ufinyu wa akili zako atakufanya uitwe marehemu,kisha wanaume Kama sita wenye nguvu ndio watakaounganisha nguvu zao kukubeba kwenye jeneza ili uzikwe..🥸😎
Kipimo cha mke mwema ni Heshima yake na UTII
Kea mume ampendaye.

MSAMAHA

Ni jambo jema sana kusamehe wanaotukosea,
Lakini kumbuka nyoka huvua magamba ili azidi kua bora zaidi
Na imara zaidi katika kutoa sumu...
Hivyo angalia msamaha wako usije ukakurudisha kwenye upumbavu wa awali🥺🤣🤣
maana anguko lake hua kubwa kuliko la awali🥸😎😎
samehe watu.
lakini kumbuka kuwapunguza..kabisa

#foryouã‚·page #philosophyoflife #philosopher #knowledgeispower #illuminateyourspace

Content created by : Dogoli kinyamkela
 
Baba na mama wote wanawajibu wa kufanya ili maisha yaendelee.Mama amtii mumewe bila shuruti.Baba naye ampende mkewe na ajisikie kuwa wewe ni mume asiyeyumba.Mwanamke akihisi una infiriority kwake ya namna flani;umekwishaa
 
Back
Top Bottom