Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
MWANAMKE ASIYE NA HESHIMA
: Mwanamke Yeyote Ambaye,amechagua kutokukusikiliza wewe,
Kama mumewe,huyo hafai kwenye maisha yako..KWANINI?
Kea mume ampendaye.
MSAMAHA
Ni jambo jema sana kusamehe wanaotukosea,
Lakini kumbuka nyoka huvua magamba ili azidi kua bora zaidi
Na imara zaidi katika kutoa sumu...
Hivyo angalia msamaha wako usije ukakurudisha kwenye upumbavu wa awaliπ₯Ίπ€£π€£
maana anguko lake hua kubwa kuliko la awaliπ₯Έππ
samehe watu.
lakini kumbuka kuwapunguza..kabisa
#foryouγ·page #philosophyoflife #philosopher #knowledgeispower #illuminateyourspace
Content created by : Dogoli kinyamkela
: Mwanamke Yeyote Ambaye,amechagua kutokukusikiliza wewe,
Kama mumewe,huyo hafai kwenye maisha yako..KWANINI?
>>Kwanza anaamini yeye ni bora kuliko wewe.
>>Anaamini kua katika mahusiano na wewe ni Kama vile amekufanyia upendeleo tu..πππ
Usinichukie ni maneno nasema.>> Anaamini kuna mtu mwingine bora zaidi yako...japo hamjui ni nani,hivyo ataendelea kuishi nawewe lakini mindset yake iko sokoniππππ€£ππ
>> Anaamini anapaswa kua na mwanaume Tajiri na mwenye hadhi kuliko wewe..π€£π€£π€£ππ
>> Akiwa na marafiki zake,maneno na jumbe zake ni kwamba kwako ameshikiza..πππ
>>Huyu ni mwanamke ambaye kisasi chake kikubwa,pale mnapogombana ni kuongeza mwanaume mwingine akifikri anakukomoa...π€£π
Kipimo cha mke mwema ni Heshima yake na UTII>>Huyu ukigandamana naye kwa nguvu zake na ufinyu wa akili zako atakufanya uitwe marehemu,kisha wanaume Kama sita wenye nguvu ndio watakaounganisha nguvu zao kukubeba kwenye jeneza ili uzikwe..π₯Έπ