Mwanamke asiye na passport wala visa apanda ndege toka New York USA hadi France

FAQ

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2024
Posts
415
Reaction score
1,311
Mimi sijui kusimulia vyema. Ila habari imekaa kiutata sana hasa ukizingatia BBC wanavyojua kuconceal information.

Wanadai alisababisha "disturbance" kwenye ndege iliyotakiwa kumrudisha baada ya kukamatwa.

Chanzo ni BBC
 
Dini inahusika VP hapo?
Ndege ilitaka kutumika kama short kati ya kwenda peponi ikiwezekana kuangamiza watu wengi as much as inavyowezekana. Kwenye mambo ya uchunguzi ukitaka ku establish intention(motive) ya mtuhumiwa ni lazma pia uangalie angle nyingi depending na tukio lililotokea
 
Hii taarifa ina wiki nzima huyo dada ni raia wa Russia alisafiri toka USA mpaka France akiwa hana boarding pass wala Visa kwenye Passport yake baada ya kuruka viunzi viwili vya vya ukaguzi wa mwili hapo JF Kennedy Airport na alipoingia ndani ya hiyo ndege akwenda kukaa kwenye seat yeyote zaidi ya muda mwingi aliutumia kwenye kewnye vyoo vya hiyo ndege mpaka rubani alipopata taarifa kutoka kwa wahudumu wa ndege na kutangaza kuwa abiria wote wawe watulivu mpaka pale polisi wa usalama watakapofika na kumchukua..
Shirika la ndege lililomsafirisha ni Delta mpaka muda huu aligoma kurudi USA akitaka kubaki France unafanyika uchunguzi jinsi alivyofanikiwa kusafiri na ikowekezekana arudishwe USA au aendelee kukaa France kwa vibali vya ukimbizi..
 
Uzuri wa wenzetu uko hapo ukiwazidi akili kidogo hawapanic na huenda wakamjali na kumuhudumia kabisa

Yani hapo kwenye vikao vyao vya siri tu ndio watajadili namna ya kufanya jambo kama hilo lisitokee tena.
 
Back
Top Bottom