Mwanamke asiyeona siku zake anaweza pata mimba??

Naomba kueleweshwa juu ya hili swala je mwanamke aspoona sku zke hata kwa miez mitatu hivi je anaweza pata mimba??
NDIO ataweza kupata mimba iwapo atajamiiana kipindi cha ovulation(kupevuka kwa mayai ya uzazi). Wapo wanaojifungua na kukoma kupata siku zao na baada ya muda kujikuta wamebeba mimba nyingine ili hali hawakuona siku zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…