mwanamke asiyezaa kabisa anahitajika kwa ndoa mara moja!

mwanamke asiyezaa kabisa anahitajika kwa ndoa mara moja!

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
miaka yangu 35, nahitaji kuoa msichana/mwanamke ambaye hajawai kuzaa na hawez kuzaa kabisa. awe na umri chin ya 40 miaka. serious!
 
una watoto? kwa nini unatafuuta asiyezaa
 
miaka yangu 35, nahitaji kuoa msichana/mwanamke ambaye hajawai kuzaa na hawez kuzaa kabisa. awe na umri chin ya 40 miaka. serious!
inallilah wa ina llilah raajuun
 
Mnamaswali mengi kwani nyie ni polis polis polis, mnamaswali mengi kwani nyie ni polis polis polis
 
Mnamaswali mengi kwani nyie ni polis polis polis, mnamaswali mengi kwani nyie ni polis polis polis
afadhar umenitetea, mana mfumo wangu wa maisha unataka kuwekewa matege bila sababu. sio lazma wote tuoane na kuzaana!
 
huku ni kunyanyapaa wazaaji?
sisi tunaotaka kuzaa kuna shida gani
aya
 
  • Thanks
Reactions: amu
huku ni kunyanyapaa wazaaji? sisi tunaotaka kuzaa kuna shida gani aya
wa mlengo wako wamo humu pia Jf. Kwangu nikimpata hatajuta kunifaham. ANY PRETENCE SHALL RENDER THE PURPOTTED MARRIAGE VOIDABLE!
 
Hahahahaha lol!!! Funguka banaaaa mbona unakuwa mkali hivyo!!!? labda wanataka kuchangamkia tenda hivyo inabidi wajue kulikoni hutaki aliyewahi kupata mtoto na pia asiwe na uwezo wa kupata mtoto.

Mnamaswali mengi kwani nyie ni polis polis polis, mnamaswali mengi kwani nyie ni polis polis polis
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom