STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Tunarudia enzi mkuuMambo ya kizamani sana haya
OhoooUnayo na yakutolea au unataka kuangalia sura tu?
Huko utakutana na wazee wa tuma ile pesa kwenye namba hii lakini wakijivisha uanamke....pia utakutana na wauza papa nguru yaani changu na wanaopakuliwa.Nataka niingie huko nikaangalie kiliwazo.
Je? Kupoje huko... Nataka nikajaribu Kama ntaopoa mlupo.
Ingia humo [emoji115][emoji115][emoji115]upate uzoefu.Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama wanaambizana vile. Ukichati nae tu kidogo utasikia,"naomba niazime 30000 nina shida sana...www.jamiiforums.com
Labda uandishi m bovu kidogo.Hebu fafanua namba 5, hakuna mapenzi kivipi, maana wanaume huamini ngono ndio mapenzi. Na ili yawe mapenzi kwa definition yako yana alama zipi??i.e mtu akifanya kwa mapenzi ni viashiria gani unaviona??
Hapana uandishi wako uko vizuri na umeeleweka kabisa, nilitamani uingie ndani kidogo hapo,for the sake of learning, maana iko kifupi sanaLabda uandishi m bovu kidogo.
Ila nimemaanisha... HAKUNA mda wa kuchezeana kiiivyo....