Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Demu wake mwenyewe yupo badoo ?au mtandao mwengine anauza papa either directly or indirectly halafu anaropoka upuuzi


Nishawahi kutaka kununua demu badoo nikamwambia usiku kucha akaniambia asingeweza kulala nje mchumba wake ana wivu mnoo yaani in short mademu wamekuwa warahisi mnoo demu unaemfukuzia kitaa angalau upate namba yake mi naipata kupitia badoo
 
Brother hawa ni mademu wa chuo.Yuko hapo mabiboView attachment 1261089
Manina mademu wa chuo maofisini utawakuta badoo,hitwe ,tinder ,hi5 ,sayhi,eskimi

Halafu nje wanajifanya waastarabu Mfano kuna kademu ofsini kanajifanya kastaarabu kana heshima kwelikweli nikabadili username na nikaeka profile picha ya iron man kasinijue nikaendea hewani ilikuwa ni hi5

Nikaendea directly tukakubaliana bei nikakambia kanikute lodge Fulani namba Fulani kalishangaa kameingia room kakuta ni Mimi kalisikia aibu sana ila ndo hvyo kalilika
 
Wengi wanakuwa na tabia HIZI

-kula kulala au kukaa kwa shemeji au wazazi
-hawawezi kazi ngumu mfano kuchanganya zege
-elimu ya kuunga hawajasoma wengi wameacha shule maana kwa akili ya kawaida huwezi jifanyisha mwanamke ukatapeli wanaume wenzako
 
Aiseee
 
Pia ajue hao malaya anao waona huko hawapandwi na kila mwanaume.Wengine wana vigezo vyao.ukienda mchafumchafu wana ku drop.Hata profile yako ikiwa ovyo hawakujibu
 
[emoji23][emoji23] dadekii wanaleta maringo halafu wengi wana njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…