Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

ungetuma hio 20 ya salon anaingia mitini...cha ajabu kuna midemu hua inatuma kabisaa ikitegemea kuja kuonana nae baada ya hapo ni full kalenda..hii mitadao ni ishu kwa walibukeni wanaotaka papuchi ya chap chap
 
alibakari hahahah kumbe bado mwanachama
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] Mimi sio mwanachama mkuu, huwa napitia mara moja moja tu, nawahoji maswali yangu ya kizushi na kupotea[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Haka kauzi kanakufa na kufufuka tuuu.
Badoo sijaenda kitambo,ngoja kesho niinstall app kisha nitongoze hata wanne hv kisha nitaleta mrejesho.
Tukumbushane wajameni maana msoto huu ni ugonjwa wa kumbukumbu.
 
Ukisikia mwanaume boya ndio hapo sasa utamtumiaje pesa mtu usiyewai kumuona kwa mfano kama kweli wewe unaakili timamu acha tu mtapeliwe

Ha haaa Mkuu mbona kawaida tu si kama betting kuna kula na kuliwaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…