Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Badoo=Bedui sasa unaingia kule unataka kutangaza ndoa?

Lazima uliwe tena ukiwa umevaa ngu(kinguonguo)
 
Badoo is still strong kumbe...

Ngoja ni install nipitishe mkesha wa mwaka mpya
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Na uache bangi sio sifa hii ni kujizolea mijinuksi kutoka kwenye **** za Malaya wanaosex na majanaba.
 
Nipo napekua vitoto vipya
Nimemkuta huyo Salha hapo[emoji116] nimemuelewa mbaya yani[emoji39] [emoji39]
Anaweza kunilia hela yangu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Daaaaaaaah wakubwa mnafaidi sanaa..
 
Lazima akuombe nauli au ya kusukia,mark my word
 
Hivi kuna watu wameshawahi kula tamu huko badoo? Au ndio mnatuma pesa za saloon daily.
 
Lazima akuombe nauli au ya kusukia,mark my word
Mi ni expert pande hizo, hata akiomba ataambulia maneno tupu[emoji38] [emoji38] haliwi mtu hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Naomba username na paswed yako ya huko badoo niwe natumia mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…