Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nimesoma uzi mmoja hadi mwengine. Nimejifunza vitu kadhaa hapa. Moja ni kuwa wanaume tunaisha wanabakia wavulana tu madomo zege kutongoza face to face ama man to man kama bundesliga hawawezi kabisa daahh ni msiba huu. Pili watu wanapend INSTANT, aka fasta, instant fack, instant money, instant food, instant instant instant. Sanaa ya ku enjoy na totoz piga stori kidogo hakuna kabisa. Nne bado tulio wengi hatujui hasa matumizi ya technologia tunafanya kuiga tu. Kweli wanaume wanapotea na ni kizazi cha wavulana tu.
 
Hapo kwenye patience, surely the world is running out of patience.
 
Nilikua na chat na msichana kama wiki hivi akawa ananimwagia utamu wake wote kwenye watsap na sex story ambazo zimeniingia kisawasawa kichwani mwangu sasa shughuli ilikuja akawa anataka tufanye video sex hapo ndipo nilipoanza kupatwa na mashaka. Nilimkwepa siku kadhaa lakini nikaiingia kwenye mtego.

Kupokea amekutana na mtu tofauti na aliyemuona kwenye Badoo hapohapo akakata simu na saivi hataki mawasiliano na mimi, nimejaribu kupiga simu sana, kutuma meseji nyingi bila ya kupata majibu. Nisaidieni wana JF huyu mwanamke nimempenda ingawa hatujawahi kuonana sijui nifanyeje sasa.

Nilijaribu kumwambia mimi sipendi kuweka picha yangu halisi kwasababu siko sirias kukutana na mtu yoyote just chat tu wewe ndio wa mwanzo ambae nimetegemea tukutane lakini ananiambia hawezi kuniamini tena.

Nisaidieni ili nimrudishe kwenye imani yake ya mwanzo na huyu sio wale maneno mawili anakwambia shida.
 
Heheheh kwani wewe sio handsome kama uliyemweka badoo nini?

Niko vizuri lakn huwez kuwa sawa na mwingne na yeye zaid alipenda my dick manake nilimtumia na akawa anaiwazia sana ataipataje lakini kabadilika
 
Nilimtongoza demu badoo tukawa tunachati sana kama wapenzi, nilikua natumia picha si zangu. siku tukapanga tukutane kwenye nyumba ya wageni ni mgegede. Nikatangulia room baadae akaja akagonga mlango alivyoingia niliduwaa aisee. Kumbe anafanya kazi na wife na kwenye harusi yetu alikua meid wa bibi harusi
 
Niko vizuri lakn huwez kuwa sawa na mwingne na yeye zaid alipenda my dick manake nilimtumia na akawa anaiwazia sana ataipataje lakini kabadilika
Sasa huyo si kahaba achana nae mkuu,

Mpaka mnarumiana utupu wenu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…