Badoo utapata elimu gani jamani zaidi ya kwenda kuwakula wanawake hukoSio kuchepuka mumy nilikua tu napata elimu kidogo kuhusu badoo, wewe unanitosheleza
Hakunaga kitu kama hicho mana hakuna cha zaidi ya ulichonacho huko..Badoo utapata elimu gani jamani zaidi ya kwenda kuwakula wanawake huko
Ewaaaa ndio mana nakupendaHakunaga kitu kama hicho mana hakuna cha zaidi ya ulichonacho huko..
Vp kwanza leo ulipotelea wapi mana ndio nakuona sasa hv?
Doh pole sana nilikumiss kweliEwaaaa ndio mana nakupenda
Bundle babe jamani[emoji57][emoji57]
Asante babe nilikumiss pia kwahiyo unakesha jfDoh pole sana nilikumiss kweli
Hapana sikeshi dia, alafu kuna muda nmefanyiwa kiji-interview nikakupaisha hukoAsante babe nilikumiss pia kwahiyo unakesha jf
Halaf achana na hizo mambo za interview bana nikikuita ben10 unacheka ebu achana na hizo mamboHapana sikeshi dia, alafu kuna muda nmefanyiwa kiji-interview nikakupaisha huko
Mh! aya basi hunioni tena nikihojiwaHalaf achana na hizo mambo za interview bana nikikuita ben10 unacheka ebu achana na hizo mambo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbona umeguna tena halafu ujiandae tukalale tuwaache mapopo wa jfMh! aya basi hunioni tena nikihojiwa
Nimeguna hilo katazo limekua na msisitizo wa hatari mixer na vitisho vya uben10 [emoji2] [emoji2] ...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbona umeguna tena halafu ujiandae tukalale tuwaache mapopo wa jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni vile sipendi viben10 uwiiii tukalale babeNimeguna hilo katazo limekua na msisitizo wa hatari mixer na vitisho vya uben10 [emoji2] [emoji2] ...
Hapa nakusikilizia wewe tu ukisema tulale tunalala
Aya tuondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni vile sipendi viben10 uwiiii tukalale babe
Mi wacha niende zangu kwa BADOOAya tuondoke
Yaan utoke kabisa naona umekuja kuangalia njia za kuchepuka hivi me sikutoshelezi
Halaf achana na hizo mambo za interview bana nikikuita ben10 unacheka ebu achana na hizo mambo
Duh!Yaan utoke kabisa naona umekuja kuangalia njia za kuchepuka hivi me sikutoshelezi