SoC04 Mwanamke awezeshwe katika Sayansi na Teknolojia

SoC04 Mwanamke awezeshwe katika Sayansi na Teknolojia

Tanzania Tuitakayo competition threads

Barbie tariq

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
5
Reaction score
2
Nimuhimu sana kuwezesha wanawake katika sayansi na teknolojia kwa miaka ijayo kuanzia 5 hadi 25,hii itahakikisha mwanamke haachwi nyuma katika sayansi na teknolojia.

Pia sayansi na teknolojia kwa mwanamke zina maana kubwa, zikimpa fursa ya kujitegemea, kuwa na ushawishi katika jamii, kujenga mustakabali bora na kuondoa nyanyasaji dhidi ya mwanamke.

UMUHIMU WA MWANAMKE KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA
 
Upvote 1
Back
Top Bottom