Naomba kujua mwanamke baada ya kujifungua uchukua mda gani kuanza kujisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa na mume wake?hapa naamanisha bila ya Mume wake kuamsha hashiki ya kutaka kufanya naye mapenzi.Nauliza hivi sababu niko naye mbali kwa sasa nikitafuta maisha huku yeye akiwa amepumzika nyumbani.
Sasa baba, wewe usipomuamsha ashki mkeo ukangojea zijiamshe mwenyewe, si mwaka utaisha? Kwani kabla yeye hajajifungua ilikuwa inachukua muda gani ajiamshe ashki?
ashki anazipata kwa mtoto wake akinyonya na nyege zinaishia hapo .sasa wewe subiri akuamshie ashki utakaa sana ukizingatia upendo ushaamia kwa mtoto.ila chonde msinibemendee mwanangu sababu ya ashki zenu lola
Inategemea. Baada ya mwezi mmoja siyo mbaya. Ila kuwa makini usije ukamubemenda mtoto. Swali la kizushi: Wakati mjamzito uliishia mwezi gani kumnanihiii?
inategemeana na aina ya mtu, na vyakula anavyokula. ila ukweli supu na mitori ukieka na uji wa ulezi wenye siagi huleta ashki mapema sana, na ndio maana kwa wale wenzangu na mm unamaliza 40 na mimba juu lol!