Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mimi hapa
Brilliant reply DA.
Mimi hapa
Mchamungu na mwenye kukukidhi.
Mpevu kwahiyo mimi sifai sio? Haya bana
lakini si ushaolewa weye?..kwa hiyo wewe upo kundi gani ili mtu hata akitaka atafute kwenye kundi lako.
Hayo tutaongea wawili mimi na wewe tu ok??
M/mungu atakupa unayefanana naye,kwahiyo anza kujiangalia ww kwanza, halafu jibu utakuwa nalo
Mke mwem anatoka kwa Mungu, ukimpata huyu awe ana kazi au elimu au hana elimu awala kazi wote hao unaweza pata mke,Cha muhimu mpendane tu
Oa uliyempenda, kum-judge mtu kwa kuzingatia vigezo ulivyoorodhesha ni ulimbukeni...
wewe unatafuta MKE au SACCOS?