Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #41
Sasa wewe nawe maswali yamezidi mno ushaambiwa mwalimu unataka tena msingi or sec, ukijibiwa utauliza anayefundisha somo gani???
Punguza uchaguzi Ivuga utaambulia koroma wewe haya mie nimejitolea umesema nimeolewa (Sijui nani alikwambia na kwa ushahidi gani)
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara . Mwenye elimu. Au mama wa nyumbani tu ambaye hana elimu yoyote na hafanyi kazi yoyote au kumchukua mwanamke aliyekuwa housegirl wa mtu? Nataka kujua tu ni mwanamke wa aina gani kati ya hawa anafaa najua wote wana faida na hasara zao but yupi ana faidi nyingi kuliko mwenzake. Thanks guys!!
...muadilifu, mwenye maadili na kufuata misingi ya Imani yake.
...mwenye heshima na kujiheshimu,
...mwenye busara na akili yake timamu.
...asiwe mvivu, mchoyo, au mbinafsi...
...mwenye afya nzuri kiujumla.
kisha ndio uanze kuangalia elimu yake, kazi yake, urembo wake nk...
Busara na hekima za hali ya juu Mkuu. Ahsante sana. Naona kuna mchapo mzuri sana unakuja kati ya majirani wa Manchester kwenye semifinals za FA.
...muadilifu, mwenye maadili na kufuata misingi ya Imani yake.
...mwenye heshima na kujiheshimu,
...mwenye busara na akili yake timamu.
...asiwe mvivu, mchoyo, au mbinafsi...
...mwenye afya nzuri kiujumla.
kisha ndio uanze kuangalia elimu yake, kazi yake, urembo wake nk...
sitafuti mke ila nataka tu kujua ni yupi anayefaa kuweka ndani?nadhani si vibaya kujua ati.
asante sana mbu....avator yetu ille imeenda wapi aisee
au ndio umeamua kuja kimapenzi zaidi?