Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?

 
Wakuu tujadili ni wanawake gani Mashuhuri wanaweza kukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010 maana idadi hii ya uwakilishi wa akina mamabado haitoshi kabisa. Mimi naona kina Fatma Almasi Nyangasa, Shyrose Bhanji, Vicky KAMATA and the list goes on and on...wana nafasi ya kuchaguliwa kama wakuu wa wilaya baada ya uchaguzi 2010.[/QUOTE]

Yule dada anatangaza kipindi cha TAARAB katika Televisheni ya Taifa, TBC1...atakuwa mkuu wa wilaya pia..
 

Dah mdau mbona ajenda yako imekaa kama umeshapata matokeo ya uchaguzi?? As I know hao maDC na maRC kwa ilani ya vyama vingine hawatakuwepo na kama watakuwepo then watapigiwa kura sio kuteuliwa tu ili kuboresha mfumo wa uwajibikaji.
 
 

Wacha kelele wewe. Danganyanyeni huko ndani ya CCM kwenye hivyo "vikao vya ndani", sio hapa
 
Wacha kelele wewe. Danganyanyeni huko ndani ya CCM kwenye hivyo "vikao vya ndani", sio hapa

WEWE NDIO MWENYE KELELE...KILA MTU MNAMWITA CHAKULA CHA WAKUBWA!kuvunjia heshima watua wazima na heshima zao hapo kila mtu ana ndoa yake na wanaheshimika tunawajua!sio wanawake wote wanahadaika kama J....kama wewe unaliwa na wakubwa wako wenzako wanawaheshimu!hovyooooo!
 
Na yule demu aliye nunua timu ya npira wa miguu
 
Wanawake mashuhuri ambao huenda wakapata U.D.C na U.R.C.....ni Regina Mwalekwa,Janeth Mbene,Shemsa mwangunga,Shyrose banji na sauda simba chilumanga.
 

Nadhani hukuelewa nilichosema ni kelele. Umekuja hapa na kauli "Hao wanawake sita wote wanafanya kazi vizuri sana kwenye wilaya zao". Mimi nilichokataa ni kusema WOTE SITA wakati namjua fika kati yao kuna ambaye hafanyi kazi vizuri. Hayo mengine wala sikuwekea comments na vizuri umeendelea kuweka taarifa za uongo kuwa KILA MTU ana ndoa wakati kuna wasionazo na wako hapo kwenye hiyo picha!! Ukweli hauna siasa ...changanya na zako mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…