Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Kuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa"

Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa mapenzi,Ila cha ajabu wanawake wanadai mapenzi ni pesa,Sasa huwa najiuliza ni kitu gani huwafanya matajiri hawa kulia licha ya kuwahudumia wanawake wao kwa kila kitu,

Ndo nikagundua haya👇👇

👉Ukimnunulia simu mpenzi wako tambua kuwa sisi tutampigia video call usiku na atatuonyesha chupi aliyo vaa tena uliyo mnunulia wew,,Usipanic bro,ni kiherehere chako.

👉Ukimpangishia nyumba,Tambua sisi tutaingia humo na kumkaza vizuri tena na maji tutaoga,,,Acha kulia,jifute machozi bro ni sifa zako zimekuponza.

👉Ukimnunulia gari tambua kuna bishoo flani utakutana nalo linaliendesha, tena likiwa na demu mwingne,,,,Tulia fala wew nikueleze.

👉Mwanamke ukizidisha kumhonga kumbuka ndo mwanzo wa kukudharau mpaka kukuita majina ya ajabu mbele za mashoga zake,,,,Acha ufala bro,hzo pesa jenga nyumba upangishe.

👉Wanawake wakiwa mbele za watu uta wasikia "Eti oooh mwanaume pochi bhana ma-six packs yanini" Huku wakiona mwanaume mwenye six packs akili zina wahama,Bro nikwambie tu ukweli,kama mwanaume kakupendea pesa ila tambua lzm awe na kijana aliyejazia wakufanyia show off kwa mashoga zake,,,Tulia nikupe maujanja pimbi wew.

👉Hii Dunia ya sasa kitu cha kujivunia ni nguvu za kiume Alafu pesa,ukiwa navyo hvyo vitu viwili basi ujue hii Dunia ni yako,,,,Sasa kunguni wew jifanye kutafuta pesa tu huku nguvu za kiume huna,hzo pesa zitaishia kwa mabisho wenye six packs.

Volume iko Sawa huko,,,,??
 
Ogopa sana kiumbe kilichoongea na shetani ana kwa ana pale bustanini.
 
Huku Zenji volume haiko sawa..Unasikika kwa mbali..
 
The truth is wanawake hawajui nini wanataka. Maamuzi yao si logical.. yanategemea emotions. Ndio maana anaeza akasema anahitaj pesa.. kesho yake akahitaji kingine kabisa.

So usiwachukulie serious.
 
The truth is wanawake hawajui nini wanataka. Maamuzi yao si logical.. yanategemea emotions. Ndio maana anaeza akasema anahitaj pesa.. kesho yake akahitaji kingine kabisa.
So usiwachukulie serious.
Wao wanasema wanataka pesa bro.
 
Usitupangie matumizi ya pesa zetu sisi wenye nazo, kama ni umasikini ni wa kwako na familia yako, acha tutumbue hela zetu , ohoo ngoja nipokee sim ya shemeji yako nilimuagiza gari, ntarudi baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…