Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

Ktk mada za KIKUBWA kama hizi hata asieenda shule nae ni mwalimu... yaani kazi kweli kweli. Mleta UZI hongera sana kwa kufanya wazinzi wabadilishane mawazo na kusaidia kuongeza vipato vya GUEST HOUSE/LODGE maana wengi humu wataenda kufanya practicals za waliyoyasoma.

rahatupu.blogspot.com naona ingekuwa mahala pazuri sana kwa wanaotaka kujua zaidi khs hii topic ila sheria za mtandao zmeifanya SITE kwenda off.
housegirl namsikitikia mwenye nyumba wako maana nahisi mmewe na watoto wanaponea hapo na mshahara unapanda kla mwezi kama mfanyakazi wa PnP
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada ameuliza swali zuri sana na alitegemea zaidi kujibiwa na wakinadada, lakini kwa Sababu wanazozijua wao wenyewe wote wamempiga chenga, hakuna hata mmojawao aliyekubali moja kwa moja iwapo huwa wanatokwa na shahawa au Hapana wakati wa kujamiiana.
 
Mkuu wewe ni physician nini by professional maana sisi wa finance hatujui hayo mamboo mkuu

Lkn umenijenga sana nakushukuruu uliyeuliza swaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…