Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

ha ha ha ha ha ha ha kuna uzi mmoja hivi unahus hilo neno nililobold nilikamiwaje

Ha ha ha haa....nimepiga ikulu. Ila sio utani memory card yako ipo tyte sana. Niliifurahia mnooooooooooo
 
Ha ha ha haa....nimepiga ikulu. Ila sio utani memory card yako ipo tyte sana. Niliifurahia mnooooooooooo

weee acha utani wa mawe wakati unaish kwenye nyumba ya vioo wewe memory card yangu hata sura yake huijui wala size huitambui vipi useme ipo tight????? uliifurahia wapi loh makubwa haya yako...
 
weee acha utani wa mawe wakati unaish kwenye nyumba ya vioo wewe memory card yangu hata sura yake huijui wala size huitambui vipi useme ipo tight????? uliifurahia wapi loh makubwa haya yako...

Ha haa nyumba ya vioo mie? Umesahau uliniazima ile ya 2GB? nikakusevia ile movie ya kihindi! Teeeh...
 
Miaka imebadilika sana ndugu. Watoto wa siku hizi ni wawazi sana, na si jambo baya kihiiivyo. Maelezo yako yanaonesha pengine ujana wako ulikuwa miaka ya 50, 60 au hata 70/70 hivi. Badilika nao uishi kwa furaha katika Tanzania mpya.

Wanachofanya ndicho hicho kilichopo katika dunia ya leo. Huyu hapa amefanya vizuri. Hebu pitia maelezo haya:

Kuna watu humu much know sana, but in reality ni kapi kichwani. Kwa mfano hili unalolieleza najua kabisa wengi hawalifahamu. Ila tumeweza kulifahamu kupitia swali la mleta Uzi, japo amekebehiwa, na kunangwa.
 
Napita tu

ukirudi tafadhali niedokezee hizo manii za mke zina mpa mimba mwanaume au yeye mwenyewe na ana haja gani ya manii za mme kama anaweza kuzaa kama mgomba.
 
Back
Top Bottom