kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Duh we ndo buree kabisa bora hata alieuliza swali
Duuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh we ndo buree kabisa bora hata alieuliza swali
LOL ulikosa Jina??
Mkuu wewe ni physician nini by professional maana sisi wa finance hatujui hayo mamboo mkuuSi kweli, wanawake hawana shahawa wala manii, kile unachokiona kinachofanana na shahawa ni cervical mucus ambayo inasaidia kuwezesha manii kuishi kwa muda mrefu ili kuweza kuingia kwenye tumbo la uzazi na baadae kulifikia yai. Ukiiangalia cervical mucus na jinsi inavyovutika (elasticity) unawezakujua fertility ya mwanamke (kama amekaribia au amepita ovulation).
View attachment 87699
Hii hapa in fertile kwasababu inavutika hapa kunauwezekano mkubwa wa mimba kutungwa
View attachment 87700
Hii siyo fertile kwasababu haivutiki, manii haziwezi kuogelea kwasababu ni ngumu (Viscous)
Unaweza kupina kama hiyo ni cervical mucus kwa kuiweka kwenye maji, kama italowa (dissolve in water) basi hiyo siyo cervical mucus labda inaweza kuwa ni bartholin's fluid ambayo ni soluble in water.