Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
Kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa?

================================================================================================================

I will shoot straight.

Ndio, wanawake wanakojoa wanapofika kileleni katika tendo la ndoa. Hii inaitwa female ejaculation au squirting. Wakati male ejaculation inaweza kuwa na ujazo wa kijiko 1 au 2, ya wakina mama inaweza kufikia ujazo wa kikombe na zaidi.

Wetness kwenye uke ni muhimu ili tendo la ndoa lisimuumize. Lakini mwanamke anapofika kileleni anatoa haya maji zaidi ili sperms zipate medium ya kuogelea zinapotafuta yai.

Wakina mama wanatofautiana na kiasi gani cha haya maji wanayatoa. Kuna light squirters na wale super (niagara) squirters. Ukikutana na super-squirter utajua tu kwa sababu itabidi muweke mataulo ili muweze kulala. Wanawake pia wana uwezo wa kuwa na multiple-ejaculations kama umemuandaa vizuri.

Somo:
Ili mpenzi wako (mke) aweze ku-squirt, ni lazima umuandae vizuri. Haya mambo ya "slam-bam thankyou-maam" uta-climax wewe lakini sio yeye. Ukiweza kumfanya mpenzi wako a-squirt ni dalili kuwa umemridhisha vya kutosha.

Wakina mama msione aibu kama utalowesha shuka kwa gharika utakalolishusha kwani hii inamuashiria mwenzio kuwa kibarua ulichompa amekitimiza.

Wakina baba kila siku lengo lako katika tendo la ndoa ni kumfanya mwenzio a-squirt. Ukiweza kufanya hivi kila mara huyo mama atakufunga kamba kwenye tendegu usitoke.
 
Ingawa kuuliza sio ujinga ila ww umezd umbulula aisee!sasa wakikojoa wana direct wap ?amu impregnant mwanaume?dah...kweli wabongo wengi hawana elimu yA uzazi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa?

Si kweli, wanawake hawana shahawa wala manii, kile unachokiona kinachofanana na shahawa ni cervical mucus ambayo inasaidia kuwezesha manii kuishi kwa muda mrefu ili kuweza kuingia kwenye tumbo la uzazi na baadae kulifikia yai. Ukiiangalia cervical mucus na jinsi inavyovutika (elasticity) unawezakujua fertility ya mwanamke (kama amekaribia au amepita ovulation).

cervical-mucus-ovulation.jpg

Hii hapa in fertile kwasababu inavutika hapa kunauwezekano mkubwa wa mimba kutungwa

cervical-mucus-sticky-cm.jpg

Hii siyo fertile kwasababu haivutiki, manii haziwezi kuogelea kwasababu ni ngumu (Viscous)

Unaweza kupima kama hiyo ni cervical mucus kwa kuiweka kwenye maji, kama italowa (dissolve in water) basi hiyo siyo cervical mucus labda inaweza kuwa ni bartholin's fluid ambayo ni soluble in water.
 
kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa?

Wewe ndo wale wale wa form IV mnaochora picha za watu kwenye mitihani? kwani wewe hujasoma biology? Sasa kama mwanamke hamwagi shahawa wanazaaje? Umewahi kujiuliza hili?
 
Duuuuuh!! utoto kazi kweli kweli, bora niliipita stage hiyo vizuri na sikuwa na maswali ya aina hii. Kuwa kwanza kaka kisha utayajua hayo yote.
 
hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??
je ulisoma ordinary schools ama technical school??

nijibu hya nikupe majibu

Swali juu ya swali kweli wewe Mtanzania halisi, mpe jibu kwanza
 
Duuuuuh!! utoto kazi kweli kweli, bora niliipita stage hiyo vizuri na sikuwa na maswali ya aina hii. Kuwa kwanza kaka kisha utayajua hayo yote.

Miaka imebadilika sana ndugu. Watoto wa siku hizi ni wawazi sana, na si jambo baya kihiiivyo. Maelezo yako yanaonesha pengine ujana wako ulikuwa miaka ya 50, 60 au hata 70/70 hivi. Badilika nao uishi kwa furaha katika Tanzania mpya.

Wanachofanya ndicho hicho kilichopo katika dunia ya leo. Huyu hapa amefanya vizuri. Hebu pitia maelezo haya:

Si kweli, wanawake hawana shahawa wala manii, kile unachokiona kinachofanana na shahawa ni cervical mucus ambayo inasaidia kuwezesha manii kuishi kwa muda mrefu ili kuweza kuingia kwenye tumbo la uzazi na baadae kulifikia yai. Ukiiangalia cervical mucus na jinsi inavyovutika (elasticity) unawezakujua fertility ya mwanamke (kama amekaribia au amepita ovulation).

View attachment 87699
Hii hapa in fertile kwasababu inavutika hapa kunauwezekano mkubwa wa mimba kutungwa

View attachment 87700
Hii siyo fertile kwasababu haivutiki, manii haziwezi kuogelea kwasababu ni ngumu (Viscous)

Unaweza kupina kama hiyo ni cervical mucus kwa kuiweka kwenye maji, kama italowa (dissolve in water) basi hiyo siyo cervical mucus labda inaweza kuwa ni bartholin's fluid ambayo ni soluble in water.
 
Jibu la swali lako ni kuwa wakati wa tendo la ndoa huwa mwanamke anatoa ute kutoka tezi zinazoitwa Bartholin's gland. Hizi zipo ndani ya mashavu makubwa ya uke. Kabla ya kuanza tendo la ndoa kama akihamasishwa vizuri basi ute huo hutoka ili kuweza kulainisha (lubricate) uke pale tendo litakapoanza. Wanawake wengine wanapofika kileleni wanamwaga huo ute zaidi. Wengi wanasema hizo ni shahawa za kike lakini hazifanani kabisa na shahawa.
 
damian marijani is right ingawa ningetegemea wanawake wangelijibu vizuri nao instead wanaanza kuuliza maswali as if haliwahusu,anyways hebu chebi mjibu kwanza gfsonwin anaweza funguka hapa na wengine tukaelimika maana yeye huwa anazama ndani vizuri issue inapokuwa kwenye 18 zake.
 
Last edited by a moderator:
hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??
je ulisoma ordinary schools ama technical school??

nijibu hya nikupe majibu

Swali juu ya swali kweli wewe Mtanzania halisi, mpe jibu kwanza
TIQO hapa nilitaka kujua uwezo wake wa kuelewa ili nijue naweza kuanza kumfundisha toka wapi.
unless kama hujaona mantiki ya swali langu but kumuliza level ya shule nilitaka jua nikitumia biological terms atanielewa vizuri na hasa nikichanganya na kiingereza??

kumuuliza kama alisoma ordinary school ama technical school ni wazi kwamba sote tuajua kama alisoma shule ya kawaida angekuwa na basic biology knowledge so pakuanzia kumfundisha, pasingekuwa pagumu sana, ila kama amesoma techncal school najua hajui biology kabisaaaaa so huyu nitaanza kumfunza kama form one kid.

kumbuka am a teacher na siku ya kwanza kukutana na mwanafunzi mgeni jambo la kwanza ni kumpa maswali aseme back ground yake ndipo utajua misingi wakena kinachofuata hapa zaid ni kumpa maswali kutokana na basic background yake ndipo ujue anaweakness gani ili scheme yake uweze kuipanga.

kama kwa misingi hii niko wrong am so sorry
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom