Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

TIQO hapa nilitaka kujua uwezo wake wa kuelewa ili nijue naweza kuanza kumfundisha toka wapi.
unless kama hujaona mantiki ya swali langu but kumuliza level ya shule nilitaka jua nikitumia biological terms atanielewa vizuri na hasa nikichanganya na kiingereza??

kumuuliza kama alisoma ordinary school ama technical school ni wazi kwamba sote tuajua kama alisoma shule ya kawaida angekuwa na basic biology knowledge so pakuanzia kumfundisha, pasingekuwa pagumu sana, ila kama amesoma techncal school najua hajui biology kabisaaaaa so huyu nitaanza kumfunza kama form one kid.

kumbuka am a teacher na siku ya kwanza kukutana na mwanafunzi mgeni jambo la kwanza ni kumpa maswali aseme back ground yake ndipo utajua misingi wakena kinachofuata hapa zaid ni kumpa maswali kutokana na basic background yake ndipo ujue anaweakness gani ili scheme yake uweze kuipanga.

kama kwa misingi hii niko wrong am so sorry

Mimi kwa maoni yangu ningependa uwe unajibu kila swali kwa levo ya chini kabisa kwasababu humu tupo watu wa levo zote na majibu si kwa faida ya mtoa mada tu. Nakuomba sasa Mwalimu na wewe umjibu. Asante
 
Duh we ndo buree kabisa bora hata alieuliza swali
True, you are a NIGGER kwani wao kichwani hamna kitu. Mtu anaona bora ajiite nigga kisa nii mbumbumbu na anaona ujiko kuwa mbumbumbu. Hongera kwa hilo. Nikuulize swali; katika akili yako unafikiri mwanamke anakamataje mimba, au mbegu ya mwanamme inapomwingia mwanamke inakuwaje mpaka motto anaundwa? Kumbukumbu yako ya ki nigga inakuambiaje?
 
hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??
je ulisoma ordinary schools ama technical school??

nijibu hya nikupe majibu
kwa kweli dada mimi nimemaliza form 2 tena sio town ni shamba na hata kama tulisomeshwa hivyo vitu siwezi kukumbuka naomba unieleze vizuri
 
Si kweli, wanawake hawana shahawa wala manii, kile unachokiona kinachofanana na shahawa ni cervical mucus ambayo inasaidia kuwezesha manii kuishi kwa muda mrefu ili kuweza kuingia kwenye tumbo la uzazi na baadae kulifikia yai. Ukiiangalia cervical mucus na jinsi inavyovutika (elasticity) unawezakujua fertility ya mwanamke (kama amekaribia au amepita ovulation).

View attachment 87699
Hii hapa in fertile kwasababu inavutika hapa kunauwezekano mkubwa wa mimba kutungwa

View attachment 87700
Hii siyo fertile kwasababu haivutiki, manii haziwezi kuogelea kwasababu ni ngumu (Viscous)

Unaweza kupina kama hiyo ni cervical mucus kwa kuiweka kwenye maji, kama italowa (dissolve in water) basi hiyo siyo cervical mucus labda inaweza kuwa ni bartholin's fluid ambayo ni soluble in water.
ahsante kwa kunielewesha
 
Wewe ndo wale wale wa form IV mnaochora picha za watu kwenye mitihani? kwani wewe hujasoma biology? Sasa kama mwanamke hamwagi shahawa wanazaaje? Umewahi kujiuliza hili?

Yani wewe ndio bure kbs heri alieuliza swali, wewe ni useless! Uliona wapi shahawa za ke zinasababisha mimba??
 
Wewe ndo wale wale wa form IV mnaochora picha za watu kwenye mitihani? kwani wewe hujasoma biology? Sasa kama mwanamke hamwagi shahawa wanazaaje? Umewahi kujiuliza hili?
$

mkereketwa mimi nimeuliza na naamini kua sio mimi tu nitakae pata manufaa ya kujua ila kuna watu humu kama mimi au zaidi ya mimi watapata kujua usinione mjinga kwa kua nimeuliza hili suali cha muhimu nieleze ili nipate kujua kama hao wana jf
 
kuna tofauti kati ya manii, shahawa, ute na unyevu

dogo muuliza swali, umemaliza fom foo mwaka jana nini?
 
Duh we ndo buree kabisa bora hata alieuliza swali

yani huyu bora hata angekaa kimya sio siri kwan kama hujui kitu nn kinakushinda kukaa kimya na uangalie majibu ya wenye idea na topic husika sasa ni nini hicho umejibu hapo kweli NIGGA uko sahihi afadhali hata aliyeuliza swali yani huyu jamaa ni 9 minus 40
 
dogo muuliza swali, umemaliza fom foo mwaka jananini?

Wako wengi Mkuu. Tena wengi wa wale wanaopatafirst class hawayajui haya mbali. Hakuna general formal teaching of thesestuff except kwenye topic ya reproduction. Hata kuijua topic yenyewelazima ufundishwe na mwalimu anayejua anachokisema na siyo walimu wa vodafasta.

Kama waziri wa elimu anakumbia bila wasiwasiwowote kuwa waliopata division four wataenda kusomea ualimu utatategea kwelihuyo mwalimu mtarajiwa atakuwa expert kwenye biology?

Pia kwenye jamii yetu, haya mambo hayaongelewiwaziwazi between parents and children. Vitabu vya lugha ya Kiswahilivinavyoongelea hapa mambo navyo ni vichache sana kama vipo. Matokeo yakeni jitihada binafsi na kuwa curious na haya mambo ndiyo yatamfanya kijanakuyajua kwa undani.

Kuna watu wanasema akina dada watakuwa kwenyenafasi nzuri zaidi ya kumjibu mleta mada. Lakini kuna wadada wengi tuuambao kwa nje wataonekana very confident and outspoken kwenye haya mambo lakiniukikaa nae chini na kuongea nae the details unakuta ni mtupu. Wapo akinadadawengi tuu ambao hawajui content ya varginal discharge. Kwa hiyo, tatizoliko kwa jinsia zote.

Mwalimu gfsonwin saidia huyu kijana. You willmake his first ever girlfriend happy.

kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa?

I will shoot straight.

Ndio, wanawake wanakojoa wanapofika kileleni katika tendo la ndoa. Hii inaitwa female ejaculation au squirting. Wakati male ejaculation inaweza kuwa na ujazo wa kijiko 1 au 2, ya wakina mama inaweza kufikia ujazo wa kikombe na zaidi.

Wetness kwenye uke ni muhimu ili tendo la ndoa lisimuumize. Lakini mwanamke anapofika kileleni anatoa haya maji zaidi ili sperms zipate medium ya kuogelea zinapotafuta yai.

Wakina mama wanatofautiana na kiasi gani cha haya maji wanayatoa. Kuna light squirters na wale super (niagara) squirters. Ukikutana na super-squirter utajua tu kwa sababu itabidi muweke mataulo ili muweze kulala. Wanawake pia wana uwezo wa kuwa na multiple-ejaculations kama umemuandaa vizuri.

Somo:
Ili mpenzi wako (mke) aweze ku-squirt, ni lazima umuandae vizuri. Haya mambo ya "slam-bam thankyou-maam" uta-climax wewe lakini sio yeye. Ukiweza kumfanya mpenzi wako a-squirt ni dalili kuwa umemridhisha vya kutosha.

Wakina mama msione aibu kama utalowesha shuka kwa gharika utakalolishusha kwani hii inamuashiria mwenzio kuwa kibarua ulichompa amekitimiza.

Wakina baba kila siku lengo lako katika tendo la ndoa ni kumfanya mwenzio a-squirt. Ukiweza kufanya hivi kila mara huyo mama atakufunga kamba kwenye tendegu usitoke.
 
ahsante teacher kifyatu kwa kunifahamisha
 
Mkuu ulichokiongea ni kwel kabisa mimi ntakuwa shuhuda kwa hili
siwez kuanza hii kazi bila taulo
lkn wingi wake wa kutoa unatofautiana siku nyingine anatoa sana siku nyingine kidogo!
Na Hili ni nazungumzia kwa upande wangu na nanih wangu
dalili ya hii kitu huwa anasema anataka kukojoa na mwambia kojoa sasa wanawake wengi huwa waoga anafikir kuwa ni mkojo wa kawaida(kwa mujibu wa wataalam)
basi akiachia huwa inakuja kasi na maji mengi mno!

cc,
MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
kumbuka am a teacher na siku ya kwanza kukutana na mwanafunzi mgeni jambo la kwanza ni kumpa maswali aseme back ground yake ndipo utajua misingi wakena kinachofuata hapa zaid ni kumpa maswali kutokana na basic background yake ndipo ujue anaweakness gani ili scheme yake uweze kuipanga.

kama kwa misingi hii niko wrong am so sorry

Lakini my beloved teacher ninong'oneze hapo kwenye bold linawezekana? Na idadi ya wanafunzi wetu ratio na waalimu ni 20-50/1 hata huko private nako kuna ugumu....
 
hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??
je ulisoma ordinary schools ama technical school??

nijibu hya nikupe majibu
wewe muda uliopoteza kuandika hayo maelezo ni bora ungetoa majibu maswala darasa ama technical au ordinary yametoka wapi jibu swali huwezi kaaan pembeni acha dharau wewe..alaaa
:nono:
 
Ingawa kuuliza sio ujinga ila ww umezd umbulula aisee!sasa wakikojoa wana direct wap ?amu impregnant mwanaume?dah...kweli wabongo wengi hawana elimu yA uzazi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
aaaaaghhh hivi mbona mnakuwa hivyo jmaa kauliza swali unaweza jibu huwezi piga kimyaaa...daaamn:nono:
 
Si kweli, wanawake hawana shahawa wala manii, kile unachokiona kinachofanana na shahawa ni cervical mucus ambayo inasaidia kuwezesha manii kuishi kwa muda mrefu ili kuweza kuingia kwenye tumbo la uzazi na baadae kulifikia yai. Ukiiangalia cervical mucus na jinsi inavyovutika (elasticity) unawezakujua fertility ya mwanamke (kama amekaribia au amepita ovulation).

View attachment 87699
Hii hapa in fertile kwasababu inavutika hapa kunauwezekano mkubwa wa mimba kutungwa

View attachment 87700
Hii siyo fertile kwasababu haivutiki, manii haziwezi kuogelea kwasababu ni ngumu (Viscous)

Unaweza kupina kama hiyo ni cervical mucus kwa kuiweka kwenye maji, kama italowa (dissolve in water) basi hiyo siyo cervical mucus labda inaweza kuwa ni bartholin's fluid ambayo ni soluble in water.
big up mkuu.umetisha :yo:
 
Back
Top Bottom