Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

Mwanamke hutokwa shahawa wakati wa tendo?

kuna mada za kuponda lakini sio hii mada, hii mada ni muhimu sana, sasa nawashangaa wote waliomuuliza maswali kunoga mtoa mada
 
TIQO hapa nilitaka kujua uwezo wake wa kuelewa ili nijue naweza kuanza kumfundisha toka wapi.
unless kama hujaona mantiki ya swali langu but kumuliza level ya shule nilitaka jua nikitumia biological terms atanielewa vizuri na hasa nikichanganya na kiingereza??

kumuuliza kama alisoma ordinary school ama technical school ni wazi kwamba sote tuajua kama alisoma shule ya kawaida angekuwa na basic biology knowledge so pakuanzia kumfundisha, pasingekuwa pagumu sana, ila kama amesoma techncal school najua hajui biology kabisaaaaa so huyu nitaanza kumfunza kama form one kid.

kumbuka am a teacher na siku ya kwanza kukutana na mwanafunzi mgeni jambo la kwanza ni kumpa maswali aseme back ground yake ndipo utajua misingi wakena kinachofuata hapa zaid ni kumpa maswali kutokana na basic background yake ndipo ujue anaweakness gani ili scheme yake uweze kuipanga.

kama kwa misingi hii niko wrong am so sorry
uko wrong tena saana wewe kwa uelewa wako swali unavyona limeulizwa kiswahili,kiingereza am liko katka biology term acha kujifanya mjuaji kama hujui ni hujui tuu en nahisi hizi ni tabia za kike na lazima utakuwa mtt wa kike:nono:
 
uko wrong tena saana wewe kwa uelewa wako swali unavyona limeulizwa kiswahili,kiingereza am liko katka biology term acha kujifanya mjuaji kama hujui ni hujui tuu en nahisi hizi ni tabia za kike na lazima utakuwa mtt wa kike:nono:
Sasa akiambiwa kuwa muuliza swali ana PhD sijui atasema nn hapo kuhusu huo upeo anaoutafuta
 
I will shoot straight.

Ndio, wanawake wanakojoa wanapofika kileleni katika tendo la ndoa. Hii inaitwa female ejaculation au squirting. Wakati male ejaculation inaweza kuwa na ujazo wa kijiko 1 au 2, ya wakina mama inaweza kufikia ujazo wa kikombe na zaidi.

Wetness kwenye uke ni muhimu ili tendo la ndoa lisimuumize. Lakini mwanamke anapofika kileleni anatoa haya maji zaidi ili sperms zipate medium ya kuogelea zinapotafuta yai.

Wakina mama wanatofautiana na kiasi gani cha haya maji wanayatoa. Kuna light squirters na wale super (niagara) squirters. Ukikutana na super-squirter utajua tu kwa sababu itabidi muweke mataulo ili muweze kulala. Wanawake pia wana uwezo wa kuwa na multiple-ejaculations kama umemuandaa vizuri.

Somo:
Ili mpenzi wako (mke) aweze ku-squirt, ni lazima umuandae vizuri. Haya mambo ya "slam-bam thankyou-maam" uta-climax wewe lakini sio yeye. Ukiweza kumfanya mpenzi wako a-squirt ni dalili kuwa umemridhisha vya kutosha.

Wakina mama msione aibu kama utalowesha shuka kwa gharika utakalolishusha kwani hii inamuashiria mwenzio kuwa kibarua ulichompa amekitimiza.

Wakina baba kila siku lengo lako katika tendo la ndoa ni kumfanya mwenzio a-squirt. Ukiweza kufanya hivi kila mara huyo mama atakufunga kamba kwenye tendegu usitoke.
ofkoz we nid gud pipo laiki yuu:yo:
 
Yani wewe ndio bure kbs heri alieuliza swali, wewe ni useless! Uliona wapi shahawa za ke zinasababisha mimba??


Tatizo linakuja hapa, si kwamba shahawa za mwanamke zinashika mimba. Wakati namjibu jamaa computer ikawa imegoma nilipofikia (ili freeze) nakuja kushitukia jibuu limebandikwa tayari without even editing it. Ila habari ndo hiyo maji yameshamwaga kuzoleka hayawezeki. Hakuna hata siku moja kuwa mwanamke anazaa kwa shahawa zake that will never happen, hakuna asiyejuwa hili.
 
inaonekana wanawake wengi walioko hapa kwenye jf hawajui maana huo ute pengine unawatoka ila hawajui kwa undani
 
nawashukuru wote wale waliochangia hili suali nililo uliza nimejifunza mengi kupita hapo ila natoa nasaha kwa watanzania wezangu mtu anapokuuliza suali mjibu kwanza halafu tena umuulize suali leo humu kuna watu waliongea maneno ya kifedhuli eti umemaliza darasa la ngapi wengine wakasema huyu muuliza suali ni mjinga tuwe wstaarabu jamani kuuliza si ujinga ila kunyamaza na kitu hukijui huo ndio ujinga na ukafanya unajua na hali ya kuwa hujui ahsanteni wadau wote mlioshiriki.
 
ndugu zangu ustarabu ni kitu muhimu.mtu anapouliza swali c lazima kila mmoja kujibu.ukiona halifai uwaachie wengine
 
kwa kweli dada mimi nimemaliza form 2 tena sio town ni shamba na hata kama tulisomeshwa hivyo vitu siwezi kukumbuka naomba unieleze vizuri

Kumbe mtajwa hapo juu ni ke nilidhani ni me teh teh teh na writing yake mmewe ana kazi Huko nyumban
 
ila wakuu sha_hawa za hawa mama /dada zetu zipo mbali sana yataka maandalizi ya haja kumfikisha kileleni na wala sio uwezo wako wewe kukaa lifuani kwake.
~kuna vidume utakuta wanajisifu nimempiga goli tano!je,yeye kapiga ngapi?
 
uko wrong tena saana wewe
kwa uelewa wako swali unavyona limeulizwa kiswahili,kiingereza am liko
katka biology term acha kujifanya mjuaji kama hujui ni hujui tuu en
nahisi hizi ni tabia za kike na lazima utakuwa mtt wa kike:nono:


Hata kama unachuki na wanawake acha kutusemea vibaya. Umeona wanawake ndo kapu la kutupia kila lionekanalo baya?
 
hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??
je ulisoma ordinary schools ama technical school??

nijibu hya nikupe majibu

Ni bora umeuliza swali hilo. Mimi ni mmoja wa watu ambao History, Geo, Bio, Commerce hazikuwepo kabisa, ni zao la Technical School! Nasikia miaka ya baadae wameyaweka. Kule ilikuwa ni PCM tu na P haikuwa Physics bali ni Engineering Science ambayo ilikuwa si mchezo!
 
jamani mwanamke hatoi "shahawa".

shahawa ni "semen". ile mvulana anatoa akibalehe namwanaume akifika kileleni. humo kuna vilainishi na mbegu za kiume.

kwa wanawake, uswahilini tunasema anatoa utoko. hiyo inaweza kuwa vile vilainishi asili. lakini pia kwa uelewa wangu, mwanamke huweza kutokwa na utoko wa aina nyingine.

Kifyatu kaongea kana kwamba "female ejaculation" ni sawa na "squirting". lakini ni tofauti.

nafikiri wanawake wote wakifika kileleni hu"Ejaculate" au kukojoa. watu wanasemaga kuwa akifika kileleni vilainishi vinaongezeka ndo hiyo ejaculation. lakini waliofanya itafiti wameona tofauti ya vilainishi asili vya mwanamke na utoko huo anaotoa akikojoa/akifika kileleni. utoko huo huwa na rangi ya maziwa.

squirting ndo ile tunasikia ya kina katerero. maji yanatoka mengi hadi kulowanisha godoro. ingawa watu wanasemaga inatoka ukeni, lakini watafiti wa Ufaransa wameona inatoka kwenye kibofu cha mkojo. ingawa hainaga harufu ya mkojo lakini contents za mkojo zilionekana kwenye utoko huo.
 
Last edited by a moderator:
Sina sababu ya kumuuliza mtu yeyote yule ukweli unajulikana wewe umetoa hoja i-backup na ushahidi usikimbilie mteremko, hapa ni hoja kwa hoja mr/mrs Mbuzi. Kama huwezi kubackup utumbo wako futa kauli. Jibu maswali na acha kuruka ruka kama kunguru.

Hutokwa
 
Back
Top Bottom