bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Kwani wewe ndo ulimleta huyo jamaa yako mjini au alikuja na mbio za mwenge? Mambo ya mapenzi bana hayahitaji ushabiki. We mkataze, afu ndo aje kuwa shemeji yako! Utakuwa unaona aibu kunywa juice kwake!
Tafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.
Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.
Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.
Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
Kwani wewe ndo ulimleta huyo jamaa yako mjini au alikuja na mbio za mwenge? Mambo ya mapenzi bana hayahitaji ushabiki. We mkataze, afu ndo aje kuwa shemeji yako! Utakuwa unaona aibu kunywa juice kwake!
Mkuu bitimkongwe , hii story iliishaje?.Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.
Mkuu bitimkongwe , hii story iliishaje?.
P
bitimkongweMkuu bitimkongwe , hii story iliishaje?.
P
Mushauri awakutanishe na muke wakeTafadhali naomba ushauri kwa jirani yangu huyu.
Kuna mwanamke anamtaka kimapenzi lakini yeye hana interest naye kabisa. Lakini mwanamke huyu anamsumbua sana mpaka imekuwa kero. Mchana na usiku ni message tu za kumpenda na kumwomba waoane. Huyu mwanamke wala hajali kama yule jamaa ana mke au la. Saa kumi alfajiri anapiga simu. Ameshachoka kumwonya lakini ni kama akili zimefyatuka, hajali.
Mimi nimeshauri asijibu hizo message yeye huwa hajibu lakini bado ndio kwanza kama amewashiwa moto.
Jee munashauri afanye nini ili kuepukana na balaa hili? Maana amechoka kabisa. Anamfuata ofisini ikabidi aweke tahadhari kwa walinzi wakimwona wasimruhusu kabisa.
Duh...., mtoto kazaliwa, kasoma hadi kumaliza la saba!.P ilikua tarehe 22/5/2010
Ahahaha, Kama mtoto kazaliwa na sasa yupo shule ya msingi
He hii stori ni ya zamani sana, yule jirani yangu alikomaa na mwisho wanamke alikata tamaa.Mkuu bitimkongwe , hii story iliishaje?.
P
Asante, nilikukumbuka baada ya kupitia lile bandiko lako kuhusu kifo cha Karume TBC-1: Karume aliuawa na utawala dhalimu wa Sultani wa Kikoloni wa Waarabu mapema mwaka 1970, yaelekea wewe ni Mzanzibari!, sisi Wasukuma tunawapenda sana!.He hii stori ni ya zamani sana, yule jirani yangu alikomaa na mwisho wanamke alikata tamaa.
Shukran Mayalla, hata na mimi sina shida na Wasukuma, tulikuwa nao jirani zetu na tulikuwa tumekaa kwa wema sana, lakini siasa za siku hizi ndizo zinazoleta shida.Asante, nilikukumbuka baada ya kupitia lile bandiko lako kuhusu kifo cha Karume TBC-1: Karume aliuawa na utawala dhalimu wa Sultani wa Kikoloni wa Waarabu mapema mwaka 1970, yaelekea wewe ni Mzanzibari!, sisi Wasukuma tunawapenda sana!.
P
Duh...!. Vipi tena?!.Mkiwa hamjisikii kujibu sms muwe mnablock ijulikane