Mwanamke huyu utamlaumu?

me nauliza, mke alipoona unyumba una adimika alizungumza na mumewe au alienda kanisan kw padri kueleza hayo??
Alijichukulia maamuz kichwan mwake...!
 
me nauliza, mke alipoona unyumba una adimika alizungumza na mumewe au alienda kanisan kw padri kueleza hayo??
Alijichukulia maamuz kichwan mwake...!
No retrity no...........:..........to sarender!!
 
Mi namlaumu vile vile.Kumbe uwezekano wa mwanaume kukubaili kosa lake na kujirejea ulikuwepo but akapuuzia na kuamua kucheat? Kwa nini hakupeleka hilo tatizo kanisani ili watatue shida, akaamua kujitatulia mwenyewe kwa njia zisizo halali?
 
hivi katika dunia ya sasa hivi, ni mwanaume gani atakubali suluhu ya kadhia hii. Vinginevyo mtoa kamba umetia chumvi ama ni story ya kubuni,

Mtazamo wako huu!
 
Tendo la ndoa ni tamu na linahitaji kuheshimiwa na watu wote.Uzinzi hauna nafasi
 
Mtazamo wako huu!

Mbona unatetea vitu ambavyo hata haviingii akilini? Yaani unamkuta mtu kifuani kwa mwenza wako tena nyumbani kwenu halafu ati maamuzi yazingatie mazingiraah daaah, mbona haya masihara sana. Kati ya maamuzi ambayo hayahitaji 3rd part ni haya, maamuzi ni hapo hapo bila kujali mazingira.
 
Lazima alaumiwe kwanini alisubiri mpaka afumaniwe ndio waende kanisani ingetakiwa aende kanisani akutane na mzee wa kanisa ampe malalamiko yake kwamba mume wake hampi haki yake ya ndoa kabla ya kufanya huo upuuzi wake
 

Narudia tena mtazamo huu!
 
Canta,unapokua na tatizo kumbuka akili haifanyi kazi vizuri,lakini unapokosea linakua ni kosa,kinachotakiwa ni kuangalia mazingira ya kosa kisha mengine yanafuata!

Tatito co akili kutofanya kazi vizuri,ukilitambua tatizo na kulifanyia kazi tangu mapema inasaidia kuliko kusubiri hali ishakua ngumu ndio unahangaika!huyu mama nitamlaum mpaka mwisho alikua na nafac ya kupata msaada kutoka kwa watu wengine ambao wangeongea na mumewe kuliko kukimbilia kuzin.
 
Canta,ninachosema sio kwamba huyu mama hana makosa ila kosa halijaanzia kwake,yaani amesababishwa akosee,mihemko hasa ya kihisia humfanya mtu ashindwe kufikiri jambo rahihi la kufanya!
 
Canta,ninachosema sio kwamba huyu mama hana makosa ila kosa halijaanzia kwake,yaani amesababishwa akosee,mihemko hasa ya kihisia humfanya mtu ashindwe kufikiri jambo rahihi la kufanya!
Hilo wala hujanishawishi Eiyer,
Km kaona mumewe anakosea ndio na yeye aamue kukosea kwa vile mumewe kaanzisha?
Jamani jamani hv kweli km ingekuaga ndio hivo kwa namna asilimia kuwa ya wanaume walivo wanzinzi so na wanawake nao wae wazinzi kwa vile mume kaanza kuwa mzinzi?
No way huu ushauri wako au hili unalotaka nikuelewe naomba nisamehe bure,kamwe sitakubaliana nalo!!!
Huyo mama ndio mwenye makosa kbs,kwan alwayz haangaliwi aliyeanza bali aliyeendeleza na kulete matokeo mabovu!piriod.
 

penye red pagumu hapo.
unajua suala la ngono(sex) la ajabu unaweza kumwambia kiongozi wa dini akakutamani.au ndugu,mshenga akakutaka pia.suala ni kila mtu atimize wajibu wake.baba akinyimwa unadhani atafanya nini?
 
akili ya kwenda kwa padri kwa nini hakuitumia kabla hajafikia hiyo extreme?
Kwanza she is selfish, yaani mume anamenyeka hivo na kujichokea badala ya kuzungumza naye wapate suluhu, yeye akaona ampe kitumbua mtu mwingine....malabuku!
 

Kwenye hiyo nyekundu sijaelewa kabisaaaa..alimkuta wapi huyo mkewe?

Kama mke anajitetea kuwa alikuwa hatimimizi unyumba, hilo aliwahi kueleza kwa mumewe au padri kabla ya kutoka nje ya ndoa? Kutoka nje ya ndioa yako ndio suluhu ya kutimimiziwa tendo la ndoa? huoni mke huyo ni hatari kwani anaweza kuleta UKIMWI ukainagamiza familia yote ndani ya nyumba?
 
Nakubaliana na ww kwa aclimia zote,na ndicho nilikua najaribu kumwambia Eiyer.

Wanawake mnapenda sana kujidhalilisha sawa na yule aliye kubali kuliwa chooni kazini hapo utamlaumu mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…