Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Kutoa Mafunzo Kusaidia Sekta ya Afya, Elimu na Uchumi
Tarehe 27.6.2024 Mwanamke Initiatives Foundation chini ya Mkuregenzi wake Mhe. Sabra Mohammed. Imesaini MoU na kampuni ya NICE Tanzania kwa lengo la kushirikiana na kuweza kusaidia jamii katika sekta za kiafya, elimu na uchumi, kwa kutoa mafunzo na kuandaa programu mbalimbali.