Mwanamke: Je unashindwa kujenga uhusiano imara, sababu ni hizi hapa….!

Mume/Mke mwema atoka kwa Bwana hizi nyngne ni alternative diversion bt nice somo
 
I can vouch for you.

Your wife loves me a lot because I lay down the pipe more than you could ever do.

And that's why she calls you Ngabu when your name is Bishanga.
darling phina,huyu mkaka kweli yuko sawa au tumpeleke kwa bibi?
 
Last edited by a moderator:
Addition to No.3 plz,
Wanaume wengi huwa na upendo wa kihisia kwa mtu mmoja mmoja(@least most of the times),
Ila ni warahisi sana kufuata whim zao, Kwa hiyo utakuta mwanaume anakuwa na msichana kwa sababu huyo msichana anaappeal kwake kingono(face,figure,body parts n so...) na kwa sababu protocali zinazomuongoza huyo dada katika mpango mzima wa seduction ni rahisi...(vigezo na masharti nafuu)
Na most of the times ambapo a man has more than 1lover then kawatamani wote.
 
nimeipenda sana hiyo mi nimejifunza hiyo namba moja. nasubiri part 2
 

hahahahaha
duuuh
 

hahahahahahah
 
umekariri eh? utekelezaji?

we toka nimeanza kufatilia ya mtambuzi lo mambo safi kwangu na bado ije mpaka part 8

kwani hakuna kikomo kwa kila jambo kila siku kwaitaji kupaliliwa kwa chochote magugu mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…