Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu wakiwa mabarabarani wanawatamani wavaa vimini na wig mm kwakweli acha nivae ninachopenda
 
Ila kweli,sasa hapa mimi wa vimini na hii haircut huku kichwani sielew kama nanoga au ndo nimeboa[emoji23] em kwanza niende gugo nakuja,mana niko kifupi nywele nimekata afu vazi la kesho nilikua nimefikiria ni sket ndefu tena charanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu wakiwa mabarabarani wanawatamani wavaa vimini na wig mm kwakweli acha nivae ninachopenda
Yaaan hawaeleweki,mara mtu usipake makeup wakati huko ofisin anakimbizana na dada wa make up,mke nyumbani uso umenona kwa kupaka vaseline ya 2500
 
Hvo vingine alikua sahihi Ila
Hapo kwenye kukata nywele
Hapana mwanamke nywele bhana
Huo ndo ureno wa girls
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm ndio ndugu yake humu jf yaan hahaha kwahiyo umevujisha siri

Ila aliniambia tukiwa tumeshakunywa, sikuwa na uhakika ni pombe au akili yake...

Make akili za pombe hazielewekagi. Mi nikinywa Heineken naongea English safi tofauti na nikinywa Safari. Siku hiyo ilikuwa ni Heineken
 
Hivi unamjua vizuri Mzigua90! Huyu akizuiliwa kutoka atajiua.

Nasubiri tu siku apitishe tamko kwamba hataki kutoka, nianze kumtajia niko 777, mara Tips, Bucket, utashangaa tu anasema kama ndoa ife.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Niache embu. Unajua niko free. Sina bwana wala bf wa kuniwekea sheria. Halafu mimi nikiwa na mwanaume naona kabisa tuko serious wala hata haniambii nifanye kitu nafanya mwenyewe. Tatizo sasa mimi siko sure na yeye hayuko sure halafu anataka alete sheria. Siku ikitokea tukawa mbona ratiba ntaacha ili nikakae nae. Sasa hivi tuishi tu
 
Ila aliniambia tukiwa tumeshakunywa, sikuwa na uhakika ni pombe au akili yake...

Make akili za pombe hazielewekagi. Mi nikinywa Heineken naongea English safi tofauti na nikinywa Safari. Siku hiyo ilikuwa ni Heineken
Halafu Don mtu akilewa anayoyaongea yote inabidi umwamini sababu anaongea ukweli mtupu hahah umenichekesha hiyo ukinywa heineken
 
Ila kweli,sasa hapa mimi wa vimini na hii haircut huku kichwani sielew kama nanoga au ndo nimeboa[emoji23] em kwanza niende gugo nakuja,mana niko kifupi nywele nimekata afu vazi la kesho nilikua nimefikiria ni sket ndefu tena charanga
Charanga na body suit inanoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…