Kuwataja lazima akimbieeeeKaogopa kumtaja wako wengi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mjanja sana huyu [emoji23][emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kaogopa kumtaja wako wengi
Ndugu anakukataza unafki tu na wivu. We ukivaa dera anakuja kwa kina sie wavaa shorts. Haki mi mume akataze vyote ila sio kuvaa na nyweleNajiona mm hapo nilikutwa mtu wa kuvaa nguo fupi na nimependwa hivyo hivyo na nguo zangu fupi na nipo zangu tu na vimini vyangu nawaza tu ndio ningekatazwa nipo zangu na madera na 3 kichwa zangu ila pia sio mbaya yote maisha tu mablazillian ningekuwa nayaona kwenye picha tu
Acha nirudi kulala
HayaMh kwan ss tuna shida ya kufunikwa couple mapenzi yetu hayategemei kiki ya Jf mapenzi yetuuu yamenogaaaa nje Ya jf huku huwa tunaletaaa makombooo tu Mwenyewe unaelewaaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mrs Jr
Yani zi punguzwe tu zisikosekaneSasa pale kati ni manjonjo tu. Unaweza ukatoa zote ukaacha kipara unaweza ukaweka kiduku unaweza ukaweka herufi unaweza ukatoa juu juu. Kule usafi wake ni kutoweka mavitu tuu
Masuria mweee mweee mweeee sjui ni kitu gani khaaaaa Mashikolo mageniMasuria ni nini mkuu?
Hana ujasiri huoKuwataja lazima akimbieeeeView attachment 745809
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi umenielewa kweli ni kwamba alivyonikuta na mavazi yangu na yeye pia anayapenda wala hajanikataza nawaza tu ningekatazwa ingekuwajeNdugu anakukataza unafki tu na wivu. We ukivaa dera anakuja kwa kina sie wavaa shorts. Haki mi mume akataze vyote ila sio kuvaa na nywele
Naweka alama ili kesho waanzie hapaWashalala hao, sasa najiachia tu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unapeleka wapi milonjooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haya mbn ya kinyongeee why?Haya
Hahah!!Mjanja sana huyu [emoji23][emoji23]
NakaziaaaaaEmbu muexpose tuone