[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa ajil ya matumiz ya kuzama chumviniYani zi punguzwe tu zisikosekane
Hana wivu wa kijinga shem wangu na anajiamini. Niko kwenye mtihani wa kubadilishwa sasa hivi mbona nakoma. Mchaga ana wivu kama kitu gani sijuiHivi umenielewa kweli ni kwamba alivyonikuta na mavazi yangu na yeye pia anayapenda wala hajanikataza nawaza tu ningekatazwa ingekuwaje
Weka ili niione halafu nikija asubuhi nije niichungulie kama wameionaNaweka alama ili kesho waanzie hapa
Ntakua natatizo eeh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha unataka kubadilishwa nini sasa jamani nacheka sana woiiiiiHana wivu wa kijinga shem wangu na anajiamini. Niko kwenye mtihani wa kubadilishwa sasa hivi mbona nakoma. Mchaga ana wivu kama kitu gani sijui
Wamepangwaaa folen [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndio wifi
Sawa nimerudi...Unapeleka wapi milonjooo
Rudiii hapa haraka
Ukikimbia hasara kwa nan?
Kasemaaa anaooooHana ujasiri huo
Dish limechezaa badala ya kiswahil kaweka kilugha whyTusubirie tafsiri waeza kuta ni kilugha kaandika
Ata sijielewi yani [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa ajil ya matumiz ya kuzama chumvini
Hapo ni kulingana na jinsi ulivyoitafsiri weweHaya mbn ya kinyongeee why?
Hakuna jambo la ajabu rafiki sema tu huyo kijana anajifanyaga mtakatifu sana mchana sababu ya dada zake..Mh rafiki una jambooo eeeeh fungua codes
[emoji848][emoji848][emoji848]Sijui nikivae mimi?Naona umeweka kiatu hadharani kitakae mtosha akivae
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Sawa nimerudi...
Unamaanisha my wako le sister au mwingine?[emoji12] [emoji12] [emoji12]My wangu umesikia huu ushauri!?[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ooooooh nilkuwa sjui kuna zingne ngumu kama stree wayaa zinaumizaYanatumika kwenye tendo lenyewe. Wanasema zikigusa gusa zinahamasisha
Ila la kanisani muhimu sana aisee usitoke kwani kuna ulazima wa kutoka achana navyo tu asivyopenda mbona vya kawaida hivyo mtu ana future na weweVingi tu wakunyumba. Mara nisitoke mara marafiki zangu wa mjini mara niende kanisani yani tafraniii.