Why?Ata sijielewi yani [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848]Sijui nikivae mimi?
Why?Hapo ni kulingana na jinsi ulivyoitafsiri wewe
My wangu umesikia huu ushauri!?[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hilo neno liko sahihi..Dish limechezaa badala ya kiswahil kaweka kilugha why
Yawezekana hata mm ni dada ake mbna hafanyi utakatifu why?Hakuna jambo la ajabu rafiki sema tu huyo kijana anajifanyaga mtakatifu sana mchana sababu ya dada zake..
Sasa anajiachia kisa wamelala ndio namtishia kuwaita
Akikujibu unitag [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawe unapenda msitu Mkuu?
Id mpya lazima zimuhusu. Siku hizi mtu akikuogopa kukupa makavu anatafuta id mpya anaijaza ujinga wake anaruka nayo hewaniWamepangwaaa folen [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ajiandae kushambuliwa na id mpyaaa sku akimtambulisha wifiii yangu
HahahahahahahaaaaaaHakuna jambo la ajabu rafiki sema tu huyo kijana anajifanyaga mtakatifu sana mchana sababu ya dada zake..
Sasa anajiachia kisa wamelala ndio namtishia kuwaita
Bola kama kuna wenzanguWala hataa
Mmmh! Nahisi hii ni oversize ngoja niachane nacho[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani unavyokiona kinakutosha?
Masukuru sjiu mann sjaelewa bhnHilo neno liko sahihi..
Unakuta mwanamke yuko on her 20's ila anavaa kama mwanamke wa 60's. Jijali, jiweke smart. Sio lazima utumie vitu vya gharama uonekane mzuri. Tumia resources ulizonazo kujiweka vizuri. Achana na kina sisi wavaa weaves/wigs kuna nyie wenye mnakata nywele. Kata nywele zako vizuri vaa nguo nzuri sio unakata nywele na unavaa masketi marefu hayaeleweki hata mke wa mchungaji anakuzidi kupendeza. And hivi vipodozi kama lipstick wanja mascara vipo kwa ajili yetu tuvitumie. Hamna mwanamke mbaya kama atajijali kwenye muonekano wake. Pendezeni jamani. Kuna wake za watu wakishaolewa tu wanajizeesha kwa kujiweka rough kama vibibi vya miaka 70. Jiweke mpya kwa mumeo kila siku. Kama alikupenda kwa kukuona umevaa Brazilian hair kwanini uache kuvaa ukiwa wife? Unapenda vitenge shona basi mshono ueleweke. Sio unashona hips 40 wakati unavaa 34 ukivaa unaonekana kama mfuko wa mashineni.
P.S. wanaume wapendezesheni/waacheni wake zenu wapendeze. Sio ukiomuoa unaanza masharti hutaki lipstick hutaki weaves wakati ulivyomfuata alikua anavifanya. Mnakataa kwa wake zenu ila michepuko mnawanunulia hata nywele ya 400k.
Nawaona tu mnavyokiruka[emoji848][emoji848][emoji848]Sijui nikivae mimi?
Labda hajakuona badoYawezekana hata mm ni dada ake mbna hafanyi utakatifu why?
Habali usiku huuUnamaanisha my wako le sister au mwingine?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sna hamuu nazooo shoooId mpya lazima zimuhusu. Siku hizi mtu akikuogopa kukupa makavu anatafuta id mpya anaijaza ujinga wake anaruka nayo hewani