Mwanamke kabla ya kuachana na wewe, anakua ameshajua atakua na nani

Mwanamke kabla ya kuachana na wewe, anakua ameshajua atakua na nani

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
π— π—π—¨π—žπ—¨π—¨ π—ͺπ—”π—‘π—šπ—¨ 𝗧𝗔𝗠𝗕𝗨𝗔

Mwanamke kabla ya kuachana na wewe, anakua ameshajua atakua na nani.

Hii ni tofauti kwa Mwanaume.

Mwanaume hawezi kujua atakua na mwanamke gani baada ya kuachana na mwanamke aliye naye.

Ndio maana ni rahisi kwa M
1732186353558.jpg
wanamke ku MOVE ON kuliko Mwanaume baada ya kuachana.

Kwahiyo mwanamke wako akianza kukupigia pigia kelele za niache niache niache, wewe muache tu sababu tayari anakua ameshajua wapi ataelekea.
 
Back
Top Bottom