Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Nov 21, 2024 #1 π ππ¨ππ¨π¨ πͺππ‘ππ¨ π§ππ ππ¨π Mwanamke kabla ya kuachana na wewe, anakua ameshajua atakua na nani. Hii ni tofauti kwa Mwanaume. Mwanaume hawezi kujua atakua na mwanamke gani baada ya kuachana na mwanamke aliye naye. Ndio maana ni rahisi kwa Mwanamke ku MOVE ON kuliko Mwanaume baada ya kuachana. Kwahiyo mwanamke wako akianza kukupigia pigia kelele za niache niache niache, wewe muache tu sababu tayari anakua ameshajua wapi ataelekea.
π ππ¨ππ¨π¨ πͺππ‘ππ¨ π§ππ ππ¨π Mwanamke kabla ya kuachana na wewe, anakua ameshajua atakua na nani. Hii ni tofauti kwa Mwanaume. Mwanaume hawezi kujua atakua na mwanamke gani baada ya kuachana na mwanamke aliye naye. Ndio maana ni rahisi kwa Mwanamke ku MOVE ON kuliko Mwanaume baada ya kuachana. Kwahiyo mwanamke wako akianza kukupigia pigia kelele za niache niache niache, wewe muache tu sababu tayari anakua ameshajua wapi ataelekea.
K kadogo2 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,889 Reaction score 3,059 Nov 21, 2024 #2 Yaani mpk mseme bado hamjasema [emoji23]
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 1,472 Reaction score 2,766 Nov 21, 2024 #3 Huwa wanatishia tu!ukiwaambia sawa nenda sasa!hawaondoki ng'o!!? Asikudanganye mtu!