Mwanamke kama wa Sabaya ndio namtaka, anayehangaika na wewe hadi kwenye changamoto

Mwanamke kama wa Sabaya ndio namtaka, anayehangaika na wewe hadi kwenye changamoto

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Huyu Jamaa kapata mwanamke mzuri na mimi i wish to get such Woman. Mwanamke anayekomaa na we A part of challenges u face she is right woman. Nb simpendi Sabaya ila napenda nipate mwanamke kama wake.

Sabaya hela zake zipo with-held zote since awe under custody (Arrested) so Mtu asinimbie habari za tafuta hela but it All about love.
 
Nikupe namba yake, ipo kwenye vipeperushi, sasa hivi analiwa kimasihara maana miaka 30 inamuhusu hachomoki
 
Ana mademu wengi sema huyo kaamua jizima data akijua mwamba bado kuna mkwanjwa upo mahali
 
Hilo nalo ni la kuja kutuambia humu. Kweli?

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Back
Top Bottom